Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Ukweli ndio huo.

wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote.

Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke)

NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka kwa presha😅😅
 
Ukweli ndio huo.

wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote.

Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke)

NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka kwa presha[emoji28][emoji28]
Hakuna ukweli wwte hapo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom