Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

Ukweli ndio huo.

wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote.

Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke)

NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka kwa presha[emoji28][emoji28]
Yeah sure
 
mi nnae mmoja licha ya kujua mimi ni mume wa mtu na ninamkorofisha sana hajawai kuhitaji chochote kwangu zaidi ya kumpiga miti,ni pisi kali sana rangi ya mtume na umbo analo,nilihitaji tigo ili kiwe chanzo cha kuachana na mm ila wapi!! alisema haniachi na hana mshkaji mwingine zaid yangu.
 
Wanawake wanawanaume watatu

Mosi ,muhongaji

Pili ..wa show off

3 ,watatu ndo anabalaa huyu sex machine wake na akisema Jambo anatekeleza mkeo bila ubishi
Sum it up this way! Mwanamke ana wanaume wawili.
1.Ampendaye
2.Amtumiae

Always hakikisha unakuwa number 1 hapo juu kwa wanawake wote unaodate nao maana ndio namna pekee ambako utakuja kugundua mwanamke huwa ana hela ya nauli na kutunza penzi😂!

Ila ukiwa namba 2 always utakuwa mtu wa kulalamika tu wanawake wabaya n.k!
 
Back
Top Bottom