Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
😄😃😀🤣😅😆😁😂🤣😆😄😃😃Tumechelewa Sana Ndugu ZanguMbona mimi sina…
Depal weweeee👉, naomba tutafutane basi inbox......nakusubiri.Mbona mimi sina…
Hakuna ukweli wwte hapoUkweli ndio huo.
wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote.
Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke)
NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka kwa presha[emoji28][emoji28]