Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

Tena wengine wanaenda mbali zaidi Kwa kuwapa hela na unseasonal na seasonal gifts wanaume wao wanaowapenda Kwa dhati ya moyo!

Wala si uongo kwa baadhi hiyo inafanyika!
 
Mengi tunaongea kwa jinsi vile ubongo utuelekezavyo, mengine yana ukweli na mengi si halisi. Tusigeneralize mambo as per jinsi tuhisivyo...
 
iyo hoja imepita moja kwa moja.
kuna mshkaji pesa anazo yuko bize kuwagonga mademu hoteli za gharama wakati huo mkewe anakunjwa kwenye geto chafu na bwamdogo wa uswahilini huko.
 
Kwa hiyo ushakula 071...
 
Ni ubahili wako tu Huyo ambae humpi chochote jaribu kumpa chochote uone kama hajapokea
 
Wanawake wanawanaume watatu

Mosi ,muhongaji

Pili ..wa show off

3 ,watatu ndo anabalaa huyu sex machine wake na akisema Jambo anatekeleza mkeo bila ubishi
😊πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ˜†πŸ˜†
 
Moja kwamoja usitake chenga Kama mumewe kula kadri yauwezo wako akikuaga leo naenda mjini basi usiwe na mengi Mana kashamwambia hili jinga Leo lipo hapa naliacha na watoto wake
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ₯±πŸ₯±
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…