Kila mwanamke ninaye mtongoza,akatai....

Kipindi nikiwa under 30 nilikuwa kama wewe, nikisikia mwanamke natetemeka, lakini amini ukikua utaacha
Hakuna bana,wanawake siku hizi shidah kibao,wengi wao wanangangania mabwana wa watu,shida zimewazidi now days
 
dunia iko vile vile na wanawake wako vile vile. Tofauti ni moja tu, wewe umekuwa target ya ibilisi. Ukifumaniwa kisha ukafir.wa ndipo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…