Kila mwanamke ninaye mtongoza,akatai....

Kila mwanamke ninaye mtongoza,akatai....

Siku hizi maisha yamebadilika, yaani kumuomba mtu mbususu au kuombwa jihogo la jang'ombe ni sawsawa na kuomba maji ya kunywa tu......iko hivyo kwahiyo hata usimalize pumzi kujisifia kwn iko hivyo karibu kwa kila mtu ili muradi tu hauna hitilafu fulani za kimwili (kumbuka hizi ni zama za kujiselfie na muonekano). Mtu ataona aibu kuonyesha kidole chake kilichopinda lkn si mbususu......kawaida saaana ndugu!

Juzi hapa mdada anakataa kumpa namba rafiki yangu (ilitakiwa kwa ajili ya kazi tu) kwa kumwambia, 'siwezi kukupa namba yangu, baada ya kazi unaweza kushawishika kunitongoza na mimi sitoweza kukukataa.....sasa mimi mkeo ninaheshimiana nae haitokuwa vizuri kushare!'. Huyo anayeongea hivyo ni mke wa mtu na mada ilikuwa tofauti kabisa hata hatukuelewa hoja hii imetoka wapi. Ni mdada wa haja tu, huwezi kuamini. Hiyo ndo hali halisi kiongozi...
Duuh
 
Back
Top Bottom