Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

utakuwa na tabia chafu yani hata kwenye hatua ya kutongoza tu mtu anaona kabisaaa jamaa sio, majivuno, kujifanya mjuaji, kauli za hovyo, kukosa hekima, dharau yote haya nahisi yamekujaa
Mimi sio mjuaji mana kila siku nataka kujifunza zaidi,pia hizo sifa zote sina na hata kama nianzo naimani katika hao 35 kuna watano wangezipenda
 
Hujui kupangilia vina
 
kuna mazingira kuwa hujiamini na wewe mwenyewe unajikataa kitendo tu cha kukiita chuo ulichosoma ni jalala ni dalili ya kujikataa hivyo wanawake wenye akili hawawezi kupenda mwanaume anayejikweza na kujiona mnzuri kuliko wao.
jifanyie SWOT kisha rudi tena.
 
utakuwa na tabia chafu yani hata kwenye hatua ya kutongoza tu mtu anaona kabisaaa jamaa sio, majivuno, kujifanya mjuaji, kauli za hovyo, kukosa hekima, dharau yote haya nahisi yamekujaa
inawezekana asiwe kama unavyomdhania ila akawa amekosa kitu kimoja tu, confidence. halafu pia mtu ukiwa unakataliwa sana inaaffect akili, ukienda kumtongoza mwanamke unakua tayari umeshajikataa kabla hujakataliwa.
mi namshauri awe mchangamfu tu aweke pending kidogo swala la kutongoza, aanze kujenga mazoea ya kirafiki na wasichana then hilo zoezi la kupata mwanamke litakua simple kwake
 
Wengine wanataka kutoka wengine wanataka kuingia,its wonderful indeed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…