Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Basi jenga urafiki sana na mabaharia waliobobea ambao husifika kwa ukicheche ukijifunza mbinu anazotumia kupata Wanawake wengi kwa wakati wowote anaotaka na bila shaka utafanikiwa tu sababu "ndege wafananao huruka kundi moja"
Wakati nipo chuo, yupo baharia wangu mmoja BAED mtu wa ukelewe alikuwa ni shida anazichapa 24/7 chuo hadi mtaani.
 
acha kiwa mkweli sana..uwongo unasaidia
 
Basi jenga urafiki sana na mabaharia waliobobea ambao husifika kwa ukicheche ukijifunza mbinu anazotumia kupata Wanawake wengi kwa wakati wowote anaotaka na bila shaka utafanikiwa tu sababu "ndege wafananao huruka kundi moja"
Kweli,ila nina mabaharia wengi tuu wanawaweka kweli kweli,kuna mmoja anatokea swax ni balaa
 
Sawa mkuu nitaufanyia kazi
 
Yani niwe normal si ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…