But haileti furaha kama ya mapenziTry this oneView attachment 1185323
Ni kweli upweke una majanga mengi sana hasa ukiwa katika hali ya kukataliwa.But haileti furaha kama ya mapenzi
Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu, ipo hivi:
Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani. Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida. Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo.
Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hadi pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anicheki pm.
Naombeni msaada wenu wana JF wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi.
Wewe utakuwa unapiga punyeto....punyeto ukishaijua unatongoza wanawake kwa nyodo.Hapana
Uweona EEE mtongozo wa kiutu uzima huo ndege ameshanasa tayarMkuu kweli elimu yako imekusaidia sana
Tangazo lako ndio bora kuliko yote niliyowahi kuyaona hapa[emoji23][emoji23][emoji23],,akili nyingii
Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu, ipo hivi:
Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani. Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida. Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo.
Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hadi pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anicheki pm.
Naombeni msaada wenu wana JF wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi.
share na mm basi ila mm nataka yakoNdioo. Lazima nione picha ya mtoa mada.[emoji23][emoji23][emoji445]
sawa nduguSawa mkuu nitaufanyia kazi