Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Sikiliza wimbo wa kibuti wa Bw Misosi... Alitoswa mpaka na changudoa [emoji23]
Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu, ipo hivi:

Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani. Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida. Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo.

Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hadi pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anicheki pm.

Naombeni msaada wenu wana JF wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi.
 
😂😂😂😂😂😂 mkuu una akili nyingi Sana Kuna mmoja tayar kaingia kingi elimu yako unaitendea haki
 
Tafuta machicha ya nazi ambayo hayajachujwa unawishe kwenye nyeti 😜😜😜

Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu, ipo hivi:

Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani. Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida. Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo.

Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hadi pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anicheki pm.

Naombeni msaada wenu wana JF wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi.
 
umejaribu cute b, miss natafuta nao pia wamekukataa?
 
Nipo njiani kuja kuona picha yako.
Haiwezekani ukataliwe na kila mtu.
 
mbuzi kafia machinjioni
 
Ni kweli upweke una majanga mengi sana hasa ukiwa katika hali ya kukataliwa.

I fell your pain bro jaribu kutafuta hata wana wakupigie pande.
Shukrani bro,tuanze na wewe kama mwana nipigie pande
 
Back
Top Bottom