Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Nashukuru kwa ushauri mkuu,ila hayo yote nimeyafanya na nilikua bench karibia mwaka mzima na nikazoeana wasichana wengi sana ila nilipo anza tu mtongozo,NO zikaanza
Mkuu pole. Ila huwa nashangaa kimtindo maana hili suala limekuwa rahisi nowadays
 
Mkuu, Strength Weaknesess,Opportunities na Threats nishazitathimini na kuona hamna jambo lolote la ujuaji na kujiona zaidi ya kua normal kama viumbe wengine,,nadhani kuna something extra
pole sana yaani hata wanawake wa kirangi wanachoma betri?
 
Mkuu, Strength Weaknesess,Opportunities na Threats nishazitathimini na kuona hamna jambo lolote la ujuaji na kujiona zaidi ya kua normal kama viumbe wengine,,nadhani kuna something extra
Hujui kutongoza mkuu, haiwezekan kwa hili ya kawaida wanawake wawil wakukatae, yani Joan akukatae uende kwa Prisca nae akatae? Itakua unafeli kwenye kutongoza
 
Bachelor degree toka jalalani,utakuwa huna hela,hufungui walet. kwahiyo unataka kutuambia hata vyuoni hujawahi kuosha rungu na ma mates''vyuoni totoz'
 
Mmhhhh pole sana. ....wewe unadhani una tatizo gani labda? ?? Jiasses kwanza make pesa unayo muonekano fresh...kitandani je? ?? Usafi wa nje? ???


Cc Smart911
 
Mkuu... Iliwah kuwa case ya mwanangu Tukiwa versity. Ye idadi Yake ilifika 50+, ila wana tulikuwa tunaona mwana anakwama wap...alikuwa anadharau... Anakurupuka sana.. Ana haraka balaa...mbaya zaid pamoja na character hizo alikuwa Anazingua madem wanaojielewa
 
Kwanini unaulilia ukimwi na magonjwa ya zinaa?
Huko jalalani ulienda kusomea ujinga?
Hakika wewe ni Certified fool
We utakuwa na matatizo .


Nachukia watu wanaoamini kuwa elimu ndo kila kitu.wanakuwa watu wa ajabu kwenye maisha ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…