Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Ningepata bahati km yako ningefurahi sana maana wadada wanavyo nisumbua hadi kero
 
Usikurupuke,mzoee binti,mwoneshe heshima kuwa unamheshimu,unamjali.

Mkaribishe kwako,mpikie hata kama ni chai.Usiwe na pupa ya papuchi akija,pigeni story akiaga mpe 500 ya nauli aende.

Next time atakuuliza upo wp?atakuja utamwomba umshike bega ataupeleka mkono wako kwny matiti mwenyew then then then theeeeen!
 
Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu,,ipo hivi

Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani.Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida.Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo. Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hada pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anichek pm.Naombeni msaada wenu wana j.f wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi
Utakuwa na kiba 100
 
Back
Top Bottom