Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu,,ipo hivi

Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani.Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida.Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo. Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hada pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anichek pm.Naombeni msaada wenu wana j.f wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi

Je wao wakikutongoza unawakubalia?
 
Hujui kutongoza mkuu, haiwezekan kwa hili ya kawaida wanawake wawil wakukatae, yani Joan akukatae uende kwa Prisca nae akatae? Itakua unafeli kwenye kutongoza
Nafail kutongoza kivipi,kwani kutongoza si kumuelezea mtu hisia zake au nyie mnafanyaje?mnachomoaga betri au
 
Bachelor degree toka jalalani,utakuwa huna hela,hufungui walet. kwahiyo unataka kutuambia hata vyuoni hujawahi kuosha rungu na ma mates''vyuoni totoz'
Mkuu nishasema nimetumia mbinu zote mpaka ya kufungua walet ila hamna kitu
 
Mmhhhh pole sana. ....wewe unadhani una tatizo gani labda? ?? Jiasses kwanza make pesa unayo muonekano fresh...kitandani je? ?? Usafi wa nje? ???


Cc Smart911
Nimefanya assessment ya kutosha kitandani niko fire,pesa kimtindo,muenekano wa nje na ndani naamini mzuri
 
Duh bado kuna vijana wanahangaika kutongoza akat kuna wadada wanahangaika kutongoza [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Mkuu... Iliwah kuwa case ya mwanangu Tukiwa versity. Ye idadi Yake ilifika 50+, ila wana tulikuwa tunaona mwana anakwama wap...alikuwa anadharau... Anakurupuka sana.. Ana haraka balaa...mbaya zaid pamoja na character hizo alikuwa Anazingua madem wanaojielewa
mimi sina hizo sifa mkuu
 
Duh bado kuna vijana wanahangaika kutongoza akat kuna wadada wanahangaika kutongoza [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Back
Top Bottom