babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,187
Una nuksi kijanaWakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu,,ipo hivi
Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani.Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida.Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo. Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hada pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anichek pm.Naombeni msaada wenu wana j.f wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi