joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Naunga mkono hoja
Huwa wanaogopa perepeche kama hizi...
Umekataliwa tu unatangaza... Je ukivuliwa chupi si utapiga parapanda dunia nzima...
Mwanamke anapenda usiri ili awe huru na mambo yake mengine.
Mwanamke ahitaji pesa direct ukiwa unatongoza.. Ila anataka ishara au dalili kuwa ukiwa nae atakula maisha...
Mwanamke hatongozwi uchochoroni.. Kwa rika lako ni appointment na rendezvous ya uhakika.. Mixer vizawad zawad.. Mamisos.. Sana tu.
Mwanamke anapatikana kwa mbinu na ufundi wa kuteka hisia zake na sio sound pekee yake...
Uongo lazima uwe mwingi.. Promise za kutosha ikiwezekana anza kutengenza urafiki nao ili upate uhuru wa kuuonesha upendo wako.
Kingine kasi yako ni ndogo...
Yaaani miaka miwili wanawake 35 tu.. Huu ni upuuzi.. Na lazima ukataliwe..
Ina maana kwa mwezi mwanamke mmoja tu ndio unakutana nae mkali..
Huyu atakuwa mkali haswa na utakataliwa saaana.
Real man... Mara nyingi kila wik unatakiwa utongoze zaid ya mara 7 ulitakiwa now uwe kwenye wanawake 500 huko.
Unadhan woote wangekukataa hao.
Cha mwisho na cha msingi.
Pay attention kwa vitu muhimu.
Lengo la kutongoza kama linaweza kutatulika kwa njia ingine ni vyema ukaitumia...
Example.. Kama unatafuta papuchi si ukanunue tu tandika.
Mi nipo sina mwomekano sina pesa sina nin...
Ila nawabutua kama kawa.. Ni perepeche na uongo mwiingi...
Kujituma kwa saaana...
Mwisho wa siku unapewa mzigo chap