Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Wazo zurimkuu achana na mambo ya mapenzi jikite kwenye kilimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zurimkuu achana na mambo ya mapenzi jikite kwenye kilimo.
Mwache aende..usimzibie!Usiende tafwazwali.
Sio kuzuri huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasemaga ni "gundu" dawa yake ni kuoga na magadi au maji ya bahari.
Nakuja pm kuona picha kwanza mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri kwanza hebuuuuElimu yako inahusiana na nini katika mada yako????
Picha ya nini?? Mbona mnamzonga mwana???!!!!!Una uhakika huna tatizo kimuonekano!?? Weka picha
Au wew huoni ubunifu kwenye tangazo?Eeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani?? Hivi kumbe namzibia???Mwache aende..usimzibie!
Ulete mrejeshoWanasemaga ni "gundu" dawa yake ni kuoga na magadi au maji ya bahari.
Nakuja pm kuona picha kwanza mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha yake, si amesema kimuonekano yupo vizuri!!? Sisi inabidi tuthibitishe hilo.... Atume picha sasaPicha ya nini?? Mbona mnamzonga mwana???!!!!!
Eeh nisubiri nini... Naona neno digrii pale sasa kisa ana digrii ndio watu wamkubalie???? Mi nataka ambae hajamaliza la saba kabisaaaaaaaSubiri kwanza hebuuuu
Nou! It was just a prank!Ulikuwa unataka picha tu, eti???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakuwa na kiba 100Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu,,ipo hivi
Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani.Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida.Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo. Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hada pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anichek pm.Naombeni msaada wenu wana j.f wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi
Sawa mkuu.Ulete mrejesho
Mimi hapa nimemaliza la 6Eeh nisubiri nini... Naona neno digrii pale sasa kisa ana digrii ndio watu wamkubalie???? Mi nataka ambae hajamaliza la saba kabisaaaaaaa
Wewe upo na naniSawa mkuu.