Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini.

Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili ya mlima Hanang 🤸 sasa hivi mimi Shazi Wadiz natafutwa naulizwa mbona sijasikia muungurumo wa Subaru yako ya kijanja?

Muendelezo wa huu upako usiwe na ukomo.

Shukrani sana December imepakwa mafuta 🙏🙏🙏

Wanaume huko mliko ninyi upako ukoje?

Wadiz
 
Unaweza kushangaa kwanini Jua ni kali sana.., Kumbe sababu ni Upo Jangwani...
 
Usipokuwa makini na hizi siku kuu lazima tukuimbie parapanda siku za usoni
 
la75 tablet
Ndomu
PEP

Nyezo muhimu kwa mwanaharakati yeyote
 
Back
Top Bottom