Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Madhara ya ushoga ni yapi
1. Spirit ya kiume kuvunjika. Ikivunjika haitengenezeki tena hata ufanyaje.

2. Wanaume viongozi wanatoweka. Jamii yenye mashoga kufeli ni rahisi sana.

3. Maambukizi ya virusi hatari wasiotibika kama HIV, herpes na wengine wengi. Na hatari zaidi au chanzo cha magonjwa mengi kwa wanawake miaka hii ukeni.

4. Mashoga kwa shoga hawazai na hata akikuta na mwanamke wengi huwa hawana hisia so ni possible wasipate watoto

5. Mashoga hawana maisha marefu sababu ya depression, upweke, magonjwa ya zinaa, na matatizo ya kiafya kama kansa ya utumbo na njia ya haja kubwa ambayo ni guarantee kubwa sana kutokea kuanzia miaka 40+.

6. Ni kunyume na mpango wa MUNGU.

7. Ni uchafu wa kiakili na kimwili sababu ya namna tendo linafanywa na fikra za mtu anayefanya na kufanywa wanachoona na kukiwaza.

8. Ni mbaya kwa ustawi wa jamii especially wanawake kukosa wanaume wa kufanya nao maisha na kuwalelea familia.
 
Anatenda nini...kwani jamii inataka nini...inamlipa nini akiwa ana shida..jamii inamlipa Kodi ..inamlipia ada watoto wake....as long as Kuna Malaya Kuna wanaonunua...hawadangii wanawake wenzao so tatizo ni jinsia zote mbili
So hapa kinachoendelea ni umechagua kukubali kuwa mwanamke kuwa na tabia za hovyo ni sawa yet una argue na mimi kuprove mwanamke kuwa na tabia za hovyo haina shida kwa jamii kama ikimuachia afanye mambo yake kwa amani. Hivi unajielewa kweli?
 
Huu uzi una husiana vipi na muandishi kuwa mwanamke?
Achana tu na neno KILA unapoongelea feeling za Mwanamke na wewe sio mwanamke hapo unaongelea from third party, tena sio kwamba unauliza au unatoa suggestion au hisia zako bali unakuja na conclusion, in short that is a definition of being hubrus
So kwa hii logic yako, ni kwamba ili daktari aweze mtibu mtu wa gonjwa fulani hatari anatakiwa kwanza yeye aumwe ndipo aelewe namna ya kuutibu huo ugonjwa?
Hivi unajua tofauti ya kusema kwamba kila mtu anatamani (individual feelings) na ugonjwa a foreign entity within a body na unaona hayo ni sawa ? Kwamba ugonjwa huo una act differently kwenye kila kiumbe ? Yaani mfano wako ni kama unasema fundi gari lazima awe gari wakati kumbe yeye pale anatengeneza ugonjwa kutokana na kwamba ikiwa A basi lazima ni B.. wewe ni kama unasema unajua every move in every chase game even before a person moves a first piece (which is impossible) hata ikiwa theoretically possible jibu sio moja kuna a lot variables...
Are you trying to be smart here?
I think that is you but what you have done you have shown you ain't smart but rather hubris....
Another thing, am not being general here, am being contextual.
Contextual in what context ? Kijiji cha Sodoma na Gomorrah, Dangulo, Nyumba ya Masista au dunia kwa ujumla ?
 
Mimi ndiye nilikataa kuolewa na hao wanaume
Ndoa ni lengo langu la 3 baada ya kukamilisha malengo yangu 2
Ndoa sio kila kitu kwa kila mwanamke
Ndoa ni muhimu lakini sio ya Lazima..!
Are you being serious? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi kitu kinaweza kuwa muhimu halafu kisiwe lazima? Yaani bora ungesema ndoa ni jambo la kawadia ila sio lazima ila umesema ni MUHIMU halafu tena sio lazima [emoji23][emoji23][emoji23] it means hauelewi hata uzito wa unachosema hadi akili yako inakusaliti.

Anyways, turejee kwenye maneno yako, wewe hapo kukataa ndoa sio ushidi ni umeshindwa, ni kama Christian Ronaldo au MESI, apige chenga hadi kufikia golini na kumtoka hadi kipa na akabakia yeye na goli tu kisha asifunge autoe mpira nje ya usawa wa goli na kutokufunga kisha aanze kukimbia akitupa mikono mithiri ya mchezaji aliyefunga goli na huku hajafunga lolote.

Mwanamke ambaye anafikiwa na mwanaume na kupewa mkono wa ndoa kisha akakataa ni sawa na mchezaji aliyepita mabeki kisha akashindwa kufunga na hakuwa na sababu ya kutia mpira wavuni kisha atake kushangiliwa.

Sasa wewe kukataa ndoa kama unahisi ni ushujaa basi subiri ubaoni utakapofungwa matokeo yatakaposoma Maisha 30+ vs Wewe 0 (bila bila).[emoji23]

By the way, unafanya hivyo kumfurahisha nani? [emoji23][emoji23]
 
Kabisa. Nenda hapo mtandaoni google haya maneno "7 deadly sins" tafuta inayoitwa Vanity (also Pride or hubris )halafu soma maelezo yake kisha tazama namna wanawake wanatumia mitandao ya kijamii kama Instagram, TikTok, Facebook, X, only fans, etc.
Sin is an imaginary disease invented to sell an imaginary cure.

There is nothing like sin.
Maandiko na Maagizo ya Mungu yupi huyo?
Tazama hicho kipozi hapo unambie haujawahi kukiona popote. View attachment 3050821
 
Hiyo ya mountain ni ajenda nyingine, tukirudi kwenye Malaya, ni kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja.
Ni kweli ni kuwa na mahusiano na mtu zaidi ya m'moja ila sio kwa mwanaume. Kuna kahaba, fuska, malaya, uasherati, uzinzi, na kadhalika. Haya maneno hutumika kumaanisha jambo moja ila kwa vitu tofauti.

Ni sawa na vile tunatumia mimba kwa wanyama na ujauzito kwa mwanadamu kumaanisha heshima na hadhi iliyopo kwenye animal kingdom.
 
Mwanamke akitumia mwili wake binafsi kwa uhuru na matakwa yake mwenyewe, wewe ina kuletea distractions zipi?
 
Hao uliokutana nao ndio unataka kutuaminisha wanawake wote wako hivyo?

Ni kweli wanawezakuwa na mapungufu lakini sio Kwa namna unavyoelezea hapa.

Yaani mwanamke anaejitambua atamani kuzaa na hohehahe?

Sasa si wote wangekua wamezaa nao?
Then you have no idea of what am preaching about here. Unataka nikupe proof go online on social media and network katazame shuhuda za watu, sijui upo mitaa gani ila cheki utajionea uhalisia.
 
Hewa safi, utulivu, kulala kwa amani, maji safi Vina uhusiano gani na tabia za wanawake?

Maana huu uzi wako umewalenga wanawake!

Sasa hizi habari za hewa safi, maji safi zinaingiaje hapa?
 
Kataa tu lakini kuna wenzako hapa muda huu unavyokataa wanashauriana kuwa namna ya kumshika mwanaume wa mtu ni kumpa nyuma atamuacha hadi mkewe ili aolewe yeye.

Vitoto vya 2000 hivyo.
Kuna madhara makubwa kama hakuna bado nisingefanya mavi yanauma tu yakitoka je sasa limashine la mtu na ndio maana mnakosa nguvu za kiume ni laana
 

Narudia tena, uwe mwanaume au mwanamke, kama unajihusisha na mtu zaidi ya mmoja wewe ni Malaya tu, hakuna cha heshima wala staha kwenye hilo.
 
Hao uliokutana nao ndio unataka kutuaminisha wanawake wote wako hivyo?

Ni kweli wanawezakuwa na mapungufu lakini sio Kwa namna unavyoelezea hapa.

Yaani mwanamke anaejitambua atamani kuzaa na hohehahe?

Sasa si wote wangekua wamezaa nao?
Inaelekea kuna mengi hujui kuhusu wanawake mzee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So kwenye nyuzi za single motherz ukisoma huwa unakuta details gani kuhusu baba wa mtoto? [emoji848]
 
Then you have no idea of what am preaching about here. Unataka nikupe proof go online on social media and network katazame shuhuda za watu, sijui upo mitaa gani ila cheki utajionea uhalisia.

Hebu acha tuwe serious kidogo, unaposema "mwanamke wa kisasa" unamaanisha mwanamke wa aina gani, anapatilana wapi na unamtofautisha Kwa vitu gani na yule asiye wa kisasa? Umri, mavazi, aina ya kazi, rangi, umbo, uzuri au kitu gani hasa kinakufahamisha huyu ni wa kisasa na huyu sio?
 
Well nina habari mbaya kwako then kama una apply formula ya experience ya dereva wa roli kwenye experience ya mahusiano ya awali ya mwanamke kwenye uhusiano mpya.

The longer the list ya wanaume aliyokuwa nayo mwanamke the damaged goods she'll be. Mwanamke aliyepita na wanaume kuanzia wawili tayari huyo ni damaged goods na kuna shortcomings utakutana nazo na utaishi nazo ukizijutia maisha yako yote.

Si kila kitu kina appreciate in value with time. Mfano bidhaa kama iPhone with time ina loose value kwenye soko sababu features zake zinaanza kuwa outdated kwa users.

Nimelinganisha iphone na mwanamke ambaye ana compete kwenye soko la uzuri na wanawake wenzake.

Mwanamke ni kama samaki mbichi, akiwekwa mezani anunuliwe kabla jioni haijafika. Akiringa kuuzika, akilala atachina na hatanunuliwa kwa bei nzuri tena kesho yake sababu ni samaki wa jana. Nani anataka samaki aliyechina kwa bei sawa na samaki wa leo?

Cha zaidi anaweza tupwa akaliwe na paka wa jalalani a.k.a kuolewa na mwanaume wa hovyo asiye na mbele wala nyuma.


Ukisema mwanamke aliyeliwa anakuja na experience nipe faida unazopata na experience ya mwanamke aliyeliwa sana. Me nitakupa baadhi.

1. Uke wake unakuwa wa baridi sababu joto la uke ni matokeo ya kupanda kwa mapigo ya moyo, ambayo huagizwa na ubongo kupeleka damu kwa wingi kwenye uke ili kuupa joto ambalo hutumika kupasha uume wa mwanaume msisimko ili nao uweze kurequest flow kubwa ya damu kutoka kwenye ubongo wake ns kuweza kupelekeana moto. Mwanamke aliyeingiliwa sana hana tofauti na mwanamke mzee au ajuza eneo hili anakuwa wa baridi huko chini so hautafurahia kulala nae.

2. Hakunaga one shoe size fits all feet type of shoes. Kiatu kizuri ni kile kinachovaa mguu wako vema na hata kikikupwaya ukivalia soksi unaweza tembelea. Maumbile ya mwanamke aliyepitiwa na wanaume mara nyingi hukosa sifa ya kushika uume vema hata kama yalitanuka kwa muda fulani. MUNGU amemuumbia mwanamke alijifungua mtoto au watoto ila halali hovyo na Wanaume nje ya mumewe namna ya maumbile yake kujirudia na still yakatoa joto zuri la kumsisimua mwanaume sababu ya ile hali ya mwili wake kuguswa na mwanaume huyo tu ila amemnyima mwanamke kahaba /malaya uwezo wa uke wake kuweza kumpa joto mwanaume na kumfanya asisimke. Ni scientifically proven na studies zilifanywa india huko.

3. Mwanamke akiliwa sana anakuwa mentally unavailable kudeal na leadership ya mwanaume m'moja so kichwani mwake yeye anamilikiwa na wanaume wote waliomla awali hata ufanyaje hutaweza wafuta hawa watu.

4. Reputation ya mwanamke akiyeliwa sana huwa ina precedes her, tegemea siku ndugu, rafiki, au jirani yako, pengine hata coworkers au associate aseme anamjua mkeo kutoka tukio fulani la ngono. Utajiskiaje kujua mkeo alishawahi kuliwa na rafiki yako before hamjakutana?

5. Heshima kwa watoto. Mwanaume mwenye akili hutafuta mke mzuri na mtulivu ila baba mwenye hekima huwatafutia watoto wake mama bora. Hiyo aibu ya mkeo kulala na wanaume wengi unayoifumbia macho, kuna siku watoto wako watasikia wazee (age mates wako) wakizungumzia namla mama yao alivyokuwa analiwa kipindi fulani na mwana fulani. Watoto watakudharau sana baba yao kwa kutozingatia utu wao na kuwachagulia mama used ambaye hakujiweka katika position ya heshima for her future kids.

Nadhani hizi points chache zinakutosha kusukutulia akili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…