Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Kwa mfano wewe ni mwafrika then nikawazungumzia wazungu kwa sifa zao mbaya. Then wewe ukaomba mic kuchangia mada ukadeclare kuwa wewe si mzungu ni mwafrika na unasimamia maslahi ya waafrika tu then ukaanza kuninanga kuwa nina ongea rubbish juu ya wazungu.

Maswali ya kujiuliza;

(a)Wewe ni kweli mwafrika na unasimamia interest za waafrika?

(b) Kama jibu ni NDIO hapo juu kwenye swali (a),naomba kujua, inakuwaje sasa mwafrika kindaki ndaki mtetea maslahi ya waafrika kuchukizwa na hoja za mleta mada kuwaponda wazungu?

Hauoni unatia mashaka kutetea na kuchukizwa na hoja zinazolenga kushambulia kundi unalodai kuwa haumo?

Msisitizo: Mada sio wazungu na waafrika. Ni wanawake wa kisasa wenye maadili na wanawake wa kisasa wanaoishi kwenye "hoe phase". [emoji848]

Mbona kama unazidi kuharibu mkuu?Au umeshtua kidogo leo?😁Coz najua unakuwaga na mapwent ila leo mmh?

Kwa hiyo ukiongea ujinga kuhusu wazunga na nikajua ni ujinga nisiwatetee kisa mie muafrika ninayejali maslshi ya waafrika?NINGEWATETEA.

Hivi unajua kuna wazungu walijiunga ktk harakati za mmarekani mweusi kupinga ubaguzi?Kwa mtazamo wako walikosea si ndio?

Wapi nimesema hilo kundi unaloongelea halinihusu?Unaongelea WANAWAKE WA KISASA na mimi nikasema MIMI NI WA KISASA ila sina hizo tabia.Hizo tabia hazina uhusiano na USASA bali huo jina lake ni UMALAYA. ephen_
nae akakwambia wenye hizo tabia wapo kabla ya kuzaliwa kwa Kristo.
 
Achana tu na neno KILA unapoongelea feeling za Mwanamke na wewe sio mwanamke hapo unaongelea from third party, tena sio kwamba unauliza au unatoa suggestion au hisia zako bali unakuja na conclusion, in short that is a definition of being hubrus

Hivi unajua tofauti ya kusema kwamba kila mtu anatamani (individual feelings) na ugonjwa a foreign entity within a body na unaona hayo ni sawa ? Kwamba ugonjwa huo una act differently kwenye kila kiumbe ? Yaani mfano wako ni kama unasema fundi gari lazima awe gari wakati kumbe yeye pale anatengeneza ugonjwa kutokana na kwamba ikiwa A basi lazima ni B.. wewe ni kama unasema unajua every move in every chase game even before a person moves a first piece (which is impossible) hata ikiwa theoretically possible jibu sio moja kuna a lot variables...

I think that is you but what you have done you have shown you ain't smart but rather hubris....

Contextual in what context ? Kijiji cha Sodoma na Gomorrah, Dangulo, Nyumba ya Masista au dunia kwa ujumla ?
Hakuna sehemu nimeongea kama third party. Nimezungumzia actual observation na sijamzungumzia mtu au kundi la watu as per reference bali nimeongea kile ambacho kimekuwa formed kichwani kwangu as an outcome of what was observed in reality.
 
Achana tu na neno KILA unapoongelea feeling za Mwanamke na wewe sio mwanamke hapo unaongelea from third party, tena sio kwamba unauliza au unatoa suggestion au hisia zako bali unakuja na conclusion, in short that is a definition of being hubrus

Hivi unajua tofauti ya kusema kwamba kila mtu anatamani (individual feelings) na ugonjwa a foreign entity within a body na unaona hayo ni sawa ? Kwamba ugonjwa huo una act differently kwenye kila kiumbe ? Yaani mfano wako ni kama unasema fundi gari lazima awe gari wakati kumbe yeye pale anatengeneza ugonjwa kutokana na kwamba ikiwa A basi lazima ni B.. wewe ni kama unasema unajua every move in every chase game even before a person moves a first piece (which is impossible) hata ikiwa theoretically possible jibu sio moja kuna a lot variables...

I think that is you but what you have done you have shown you ain't smart but rather hubris....

Contextual in what context ? Kijiji cha Sodoma na Gomorrah, Dangulo, Nyumba ya Masista au dunia kwa ujumla ?
Sorry nashindwa kuquote points kama unavyoquote sijui kwasababu natumia simu kutype.

Okay kwenye quote yako ya pili, jibu lake ninarespond hapa.

Hapa sijasema i am the chase master au game master. Hapa ni swala la nature vs reality. Mtu akinywa pombe si lazima atalewa?

Mtu akila sana si lazima atavimbiwa?

Sasa why ikushangaze mimi kujua patterns na outcomes za tabia za watoto wa kike?

Probably ni kwamba nilitenga na ninaendelea kutenga muda wa kuwaelewa watoto wakike as my thing of interest. So don't judge me for knowing more than you.
 
Quote yako ya tatu.

I am not being hubris/prideful here. Rather am putting forward the unpopular opinion that seems to get on the nerves of everyone's who hate the truth.
 
Achana tu na neno KILA unapoongelea feeling za Mwanamke na wewe sio mwanamke hapo unaongelea from third party, tena sio kwamba unauliza au unatoa suggestion au hisia zako bali unakuja na conclusion, in short that is a definition of being hubrus

Hivi unajua tofauti ya kusema kwamba kila mtu anatamani (individual feelings) na ugonjwa a foreign entity within a body na unaona hayo ni sawa ? Kwamba ugonjwa huo una act differently kwenye kila kiumbe ? Yaani mfano wako ni kama unasema fundi gari lazima awe gari wakati kumbe yeye pale anatengeneza ugonjwa kutokana na kwamba ikiwa A basi lazima ni B.. wewe ni kama unasema unajua every move in every chase game even before a person moves a first piece (which is impossible) hata ikiwa theoretically possible jibu sio moja kuna a lot variables...

I think that is you but what you have done you have shown you ain't smart but rather hubris....

Contextual in what context ? Kijiji cha Sodoma na Gomorrah, Dangulo, Nyumba ya Masista au dunia kwa ujumla ?
Quote yako ya 4

Am being contextual eneo la reality na kinachotokea kwenye general population kwasasa.
 
Sasa kwanini ukachukua apprenticeship?

Sikatai kwamba hao online gurus wanaweza kusaidia watu, lakini mara nyingi wapo kimaslahi zaidi, wanapiga pesa. Na mimi sishauri uamini mtu mwenye kitu cha kukuuzia.

Haya mambo yako ya simps, sijui sexual market value, hoe phase.... hayapo kama unavyofikiria. Kumbuka mitandao inakuza sana mambo na sio kila lisemwalo ni sheria
Una uwezo mkubwa wa kufikiri dogo.Sijawaji kuona umeandika pumba sehemu
 
Sin is an imaginary disease invented to sell an imaginary cure.

There is nothing like sin.

Maandiko na Maagizo ya Mungu yupi huyo?
Sasa unataka tuongee maswala ya MUNGU na haumjui, why do you think it will benefit me to waste my time talking about God with a non-believer like you.

Live in your sinful life and die in there, you don't need saving you are good to die there, go ahead and die sinfully. [emoji848]
 
Sorry nashindwa kuquote points kama unavyoquote sijui kwasababu natumia simu kutype.

Okay kwenye quote yako ya pili, jibu lake ninarespond hapa.

Hapa sijasema i am the chase master au game master. Hapa ni swala la nature vs reality. Mtu akinywa pombe si lazima atalewa?

Mtu akila sana si lazima atavimbiwa?

Sasa why ikushangaze mimi kujua patterns na outcomes za tabia za watoto wa kike?

Probably ni kwamba nilitenga na ninaendelea kutenga muda wa kuwaelewa watoto wakike as my thing of interest. So don't judge me for knowing more than you.
Mtu akinywa pombe atalewa kama vile akinywa sumu atakufa ila unaweza ukapiga risasi juu mwingine akakimbia na mwingine akakufuata na kukunyangaya hio bunduki reactions to stimulus are not necessarily the same from the fact that people are different (there are so many variables) ambazo inategemea mtu na mtu na perception yake.

Ndio maana nimekwambia kuna nymphomaniacs na kuna wengine they hate the deed (maybe walikuwa raped au they are just rigid au wana hobbie / priority zingine) So they act differently...,

Kama tu unaweza kuweka mikate kwenye oven moja mingine ikaiva na mingine ikaungua ije kuwa different people (different variables) reacting differently alafu utegemee kuwa na same outcome...

The mere fact unadhani a bunch of different people can act the same just as pre-programmed robots makes me think you are oversimplifying the issue
 
Hewa safi, utulivu, kulala kwa amani, maji safi Vina uhusiano gani na tabia za wanawake?

Maana huu uzi wako umewalenga wanawake!

Sasa hizi habari za hewa safi, maji safi zinaingiaje hapa?
Nadhani swali sikulielekeza kwako umelijibu kwa namna ambayo sikulenga maoni yako.

Anyways kuna kitu nililenga kumwambia niliyemrespond sasa wewe umevamia ndio maana nimeshindwa kukuelewa nakupa jibu lipi since jibu halikukulenga.

Nikichokuwa namuelekeza na hilo jibu kilitaka logical reasoning yake juu ya alichokuwa amesema previously.

Reasoning ya kutaka ajue maisha kama yalivyo hivi na yeye kufaidi utulivu huu kuna watu waliweka misingi na standards ambazo zinafanya utulivu na starehe anazopata za kuishi ziwapo, sio tu coincidence.

Kwa mfano, wakata miti na wachoma mkaa kwa matumizi mbali mbali ya kibiashara wanachukia sana kuona au kusikia serikali na wadau wanafanya kampeni za kutunza mazingira na kuzuia ukataji miti kwa lengo la kutunza mazingira ili tupate maji, uoto wa asili, mvua na kadhalika.

Same eneo hili la maswala ya kijamii, mimi ninavyoandika huu uzi kuna mabinti na vijana watasoma kimya kimya na kujifunza jambo na kuchukua hatua ya mabadiliko na ikawa impact siku za baadae kupunguza idadi ya wadangaji, malaya, waasherati, single mothers, na wahuni kama wewe ambaye ni wazi you lack knowledge of simple and basic social skills ambazo zinakupa heshima ya kuwa mwanajamii.

Niambie unachojaribu kutetea au kunipinga hapa na mapendekezo yako ni huu uzi ungesema nini ambacho ungekiona sahihi kwa uwezo wako wa akili? [emoji848]
 
Hebu acha tuwe serious kidogo, unaposema "mwanamke wa kisasa" unamaanisha mwanamke wa aina gani, anapatilana wapi na unamtofautisha Kwa vitu gani na yule asiye wa kisasa? Umri, mavazi, aina ya kazi, rangi, umbo, uzuri au kitu gani hasa kinakufahamisha huyu ni wa kisasa na huyu sio?
1. Aliyezaliwa miaka ya kuanzia 1980's kuja 2000

2. Ambaye anakwenda na trends za kisasa

3. Ambaye hatambui wala mila na desturi za asili yetu ya afrika anaishi kwa mlengo wa magharibi pekee.
 
Mbona kama unazidi kuharibu mkuu?Au umeshtua kidogo leo?[emoji16]Coz najua unakuwaga na mapwent ila leo mmh?

Kwa hiyo ukiongea ujinga kuhusu wazunga na nikajua ni ujinga nisiwatetee kisa mie muafrika ninayejali maslshi ya waafrika?NINGEWATETEA.

Hivi unajua kuna wazungu walijiunga ktk harakati za mmarekani mweusi kupinga ubaguzi?Kwa mtazamo wako walikosea si ndio?

Wapi nimesema hilo kundi unaloongelea halinihusu?Unaongelea WANAWAKE WA KISASA na mimi nikasema MIMI NI WA KISASA ila sina hizo tabia.Hizo tabia hazina uhusiano na USASA bali huo jina lake ni UMALAYA. ephen_
nae akakwambia wenye hizo tabia wapo kabla ya kuzaliwa kwa Kristo.
Na mimi sikusema wanawake wote wa kisasa wapo na sifa hizo nilimaanisha wengi wanaassume hizo trends.

Kosa ulilofanya na unaloendelea kufanya ni kusimama mbele ya target ambapo ninalenga na kufyatukia risasi na unalalamika kuwa nakushambulia. Kama wewe ni mwanamke wa kisasa ambae unajua kujisimamia and you have a good conduct and well mannered how is this thread even affecting you just to ask you? [emoji848]
 
Back
Top Bottom