Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

1. Aliyezaliwa miaka ya kuanzia 1980's kuja 2000

2. Ambaye anakwenda na trends za kisasa

3. Ambaye hatambui wala mila na desturi za asili yetu ya afrika anaishi kwa mlengo wa magharibi pekee.

Kwahiyo hizi tabia zote ni za wanawake wote wanaoangukia kwenye hizo sifa tatu, sahihi?

Mwanamke wa kisasa ni aliyena mrengo wa kimagharibi, anaenda na trends, na amezaliwa kuanzia 1980 kuja 2000 ndio wote wapo kwenye hili kundi lenye hizi tabia zote umeziweka hapa?
 
Kichwa cha uzi kinatoa observation yako kuhusu kila mwanamke, umejuaje mawazo ya kila mwanamke?
Hivi kama kichwa tu cha habari kinaleta sintofahamu kuna umuhimu wa mtu kukupa benefit of a doubt na kuanza kuzungumia sentensi ya mwisho ? Kama kweli una peremende ambayo umeifunika na michunga je ni kosa la mtu unayempa akikwambia kwamba product yako ni chungu ?

Kama watu wame attack uzi wako ambao huenda una mawazo mazuri au una mawazo mazuri kichwani mwako (ambayo haujayaweka wazi) basi ni kosa lako kushindwa ku represent mawazo yako as far as the heading is concerned your statement is void ab initio....
 
This is a clickbait thread.
 
Huyo kiongozi ukiangalia matendo yake ya hadharani na kuyalist ni sawa.

Sasa hapa umeongelea wanawake wote wa kisasa, kila mwanamke wa kisasa, umewaangalia wanawake wote mabilioni kwa mabilioni ukawachambua wote kujua wepi ni wa kisasa na wa kisasa wote ukawaangalia tabia zao?
 
Sawa society police....🤣tuambie Cha kufanya...ehe kitu Gani kingine ni uchafu according to you...oh great much know...
Hapa nachoona ni kitu Fulani kibaya coz hufanyi...not coz ni kibaya....jaribu kuongea kwa hoja sio kukimbilia dini zilizoletwa na mashua. Tell people wat is wrong with behaving differently from you. Sio kutoa vitisho. This goes to all ppo men, women, children . Kila mtu ni mlinzi wa mwili wake. Mambo ya kujudge people because they sin differently ni utoto.
Ndo maana kwenye bible yesu alisema "yule asie na dhambi arushe jiwe la kwanza"
 
Umeoa?Umeolewa?(sababu sijui jinsia yako)....inamaana hii phase uliyo iongelea ina deal na wanawake tu???

Vipi kuhusu wanaume wanao zalisha na kukataa watoto,vipi kuhusu wanaume wanao waingilia wanawake kinyume na maumbile,vipi kuhusu wanaume wanaobaka na kulawiti watoto wadogo,vipi kuhusu "suger dady"....

Umesha jaribu kufikiria mwanaume anaharibu wapi na mwanamke anaharibu wapi...kabla ya kuandika chochote?!!!!!!

Phase hii haina wa kumzingizia.....it is for all..men and women!!!!!!
 
Nipe Elimu kidogo hapo mkuu, hiyo ni Kwa mujibu wa nani au umerejea wapi?
Sasa tukianza kuulizana kwa mujibu wa nani utaanza kunipa kazi ya kuanza kukuchimbulia vyanzo vys kihistoria kukuelezea jambo simple tu ambalo ulitakiwa uelewe maana yake na kujua matumizi sahihi.

Kwa mwanaume tunasema muasherati au mzinifu mwanamke malaya au kahaba.
 
Sidhani kama ni common kumkuta mwanamke wa miaka ya sabini, sitini, hamsini au miaka ya arobaini na saba anafanya matendo niliyolist hapo.

Anyways, unaponiuliza kuwa ni wanawake wote ama vipi, what are you trying to insinuate? Yaani unataka kuprove nini katika kupata specific number ya hiyo demographic? [emoji848]
 
Na mwanaume je mwanaume anavyosemwa huyu kaka nimalaya jamani yaani anajinsia mbili
Ni matumizi mabaya ya maneno kwan ndio neno la kwanza kutumika vibaya?

Kuna maneno mengine mengi watu hutumia sehemu sio yake.

Mfano:

Kumwita mwanamke mzuri MREMBO. kumbe kuna tofauti ya matumizi ya neno mrembo na mzuri, mwanamke anaweza akawa mzuri na asiwe mrembo, anaweza kuwa mrembo ila si mzuri lakini anaweza kuwa mrembo na mzuri kwa wakati m'moja.

Same kuna watu walikuwa wanatumia neno UKATA kumaanisha (surplus) na Ukwasi kumaanisha deficit.

Maneno yapo mengi ambayo watu wengi hukosea matumizi yake sahihi sababu ya mazoea ya kusikia wengine wakitumia hivyo.
 
Kushindwa kwako kudadavua na kuelewa kitu haimaanishi kuwa hakipo sawa, pengine level yako ya uelewa ipo chini ya ufahamu na uwezo wa mwandishi not necessarily umuelewe ndio ujumbe uwe sawa.

Sasa wewe unaona uzi unashida yet watu kibao wanakuja Dm wanapongeza nilichoandika kuniomba ushauri, who are you to tell me what i wrote is irrelevant na nimewagusa wengi? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…