Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Hivi Kuna mwanamke anaweza kufanya yote hayo mbona mambo mazito mno
Wapo, na ni wengi sana tu mbona. Na hivyo ndivyo vitu ambavyo vinamkeep busy kwenye maisha yake anasahau kufanya mambo ya msingi baadae inakuja kuwa majuto.
 
Hizo ndo kauli zenu nyie wamama wa kisasa na hii madam inawahusu.
Wanasema dunia inaharibika sio kwasababu watu wabaya au shetani ana nguvu ni kwasababu watu wazuri wanakaa kimya wakitazama wabaya wakifanya yao.

Sasa huyo amekuja kwa lengo la kuzima jitihada nzuri za kutengeneza yeye anataka watoto wa kike wawe hivyo hivyo hovyo na hatokemea wala kuongea popote sababu na yeye ni sehemu ya tatizo.
 
Hakuna mwanamme mjinga anayeweza oa mwanamke type Yako, hapa unajifariji tuu.
Anasema yupo, kuna fyucha husband wake somewhere anamngojea amalize kwanza kupambania ndoto zake then wataoana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni wapi umesoma hiyo kitu? [emoji848]
 
Unawachukia maana unawasema wanawake as if huo umalaya wanafanya peke yao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kuna watu ni wabishi. Unamwambia hii ni sumu usile itakuua yeye anaanza kukwambia mboka wanaoshea ng'ombe hawafi? [emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyo bwana ni kihiyo hadi basi.
 
Sina hata kimoja hapo kweli niko local sana natakiwa kuji establishi niwe wa kisasa.
Basi wewe ni mtoto mzuri. Nenda kwenye madhabahu ya bwana ukajipatie mwenza muianze safari ya pamoja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa nini mwanamke awe simu iliyotumika...je mwanaume aliyebikra na ambae sio hawana tofauti kimaadili....acheni kutetea ujinga wenu...lyf haipo hivyo... Ka we Malaya usilazimishe wanawake wawe bikra
Wewe ukiletewa mwanamke bikra na mwanamke malaya , unatakiwa kuchukua mke, utachukua yupi? [emoji848]
 
Ndio shida ya kukua nyumba isiyo na wazazi wenye kuhimiza watoto kufanya ibada na kumjua MUNGU vema na neno lake. Mwisho wake ndio huu kuwa na watu ambao hawajui hata baya ni lipi zuri ni lipi.

Yaani wewe kwa kukutathimini ni tofauti kidogo sana na kizazi cha Sodom and Gomorrah miaka ile. Hauelewi tofauti ya baya na zuri, najisi na suna, yaani vyote unachanganya.

Sasa why unabishana na wanaojua kinyume chake? [emoji848]
 
Uliza ulaya walikuwa wanawafanya nini wanawake waliowahisi kuwa wachawi...uliza wanawake walipata rights za kuvote au kuown property lini...uliza Sheria za ubakaji ziliwekwa lini ...ndo maana nasema kila jamii imepitia hizi stage
So hebu tukuelewe vizuri, wewe unachotaka kusema ni kipi juu ya wanawake ukizingatia hizo hoja za kwenye uzi hapo juu, tufanye mambo yasiwe mengi sana. Wewe una maoni gani juu ya zile tabia pale juu?

Kwamba wanawake wapo sahihi kuzifanya au unasemaje? [emoji848]
 
Nimesema wapi sipendi wanawake?
Ukiona mwanamke anakosea halafu mtu mwingine anakuwa mkali kumkemea then wewe badala ya kuunga mkono unaanza mshambulia yule mkemeaji kuwa anamshambulia mwanamke, na kwamba kila mtu ana uhuru wa kufanya lolote, kesho na keshokutwa yule mwanamke akaharibikiwa na kuanza kuteseka kutokana na mwenendo wake ule ule ambao wewe ulitetea kipindi akikemewa, je wewe na yule aliyekuwa akimkemea ni nani kati yenu alikuwa akimtakia mema huyu mwanamke na katika hilo ni yupi ana upendo wa kweli na huruma na mwanamke? [emoji848]

Nijibu direct na kwa hekima usilete mizaha yako.
 
Amechukua mistari ya Quran anasema ni ya Bible. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambia soma biblia yako vizuri tatizo wakristo hamsomi biblia zenu mnasomewa Jesus loves you na pastor wako unasema umesoma biblia...Kuna verses hata pastor wako hawezi kukusomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…