Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
- Thread starter
- #401
Haya maswali mbona ni ya chekechea? [emoji23][emoji23][emoji23]Kitendo gani ni uzinzi na kipi sicho na unatumia basis Gani kudefine
Sasa wewe kanisani hauendi, msikitini hauendi then unataka kujadiliana maswala ya MUNGU, hebu acha mizaha.