Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Pole sana.

Ndio maana una msongo wa mawazo umekuja kutapika huku JF.

Alaumiwe bibi na babu yako kwa malezi mabaya ya mama yako.

Ila huwezi jua labda pia umaskini ulikithiri kwenye familia yenu.
Kama mimi nina msongo wa mawazo basi na wewe utakuwa nao pia. Maana wagonjwa hujuana kwa dalili wanazopitia.

Bibi na babu yetu ni m'moja ndio waliomlea mama yetu sasa unaongeaje vibaya juu ya mama yetu mzazi ambaye amekuzaa wewe pia.

Umasikini inabidi ujue salio langu, vipi lini nilikuonyesha hilo salio langu la account ukajua nina Ukwasi wa kiwango gani?

Umekuwa mama watoto wangu kujua hali yangu ya uchumi? [emoji848]
 
Watu wanaongea kirahisi rahisi wakifikiria wanawake wanaolengwa ni makahaba wanaowanunua uko kitambaa cheupe hawajui hata dada zao, wadogo zao wa kike nao ni jinsia KE.

Wanayofanya wanawake ni machafu kwa kusema kweli. wanawake wanatumia vibaya uhuru na utetezi wanaoupata kutoka kwenye mamlaka, jamii na asasi za kiraia.

Hawa wanajiita ferminists ni wa kupigwa breki, sio wanawake wa kupewa popularity kwenye media wala social networks, hawa ni virusi hatari sana kwa mustakabali wa jamii.
 
Kuna sehemu na mimi niliwaza hivihivi nikanyanyua tu mikono juu yaishe.
Hii technique ya kujifanya kuwa na hekima na kukubali yaishe huwa naiona ni ya kizamani sana.

Kwasababu kama ulikuwa jambo huwezi kujadili usingeingia katika mjadala tokea mwanzo ungekausha, but umeshaingia katika mjadala then unabackoff baada ya kuona hoja zako hazina mashiko unafosi zionekane ni sehemu ya mjadala. Then ukiona mleta uzi anakataa unaishia kusema umenyoosha mikono, sikukualika from the beginning ili uje unyooshe mikono si ndio, ukishindwa hoja omba ufafanuzi sio ubadili mada kisha uombe ufafanuzi kwa mtazamo wa mlengo wako si ndio?
 
Nahisi anachotaka kusema na alichosema sio kitu kimoja ila hajashtukia
Unaongea na huyo anijibie hoja zangu au unajaribu kufanya kitu gani? [emoji848] Am here u can dialogue na mimi, why communicate my thoughts with someone else?
 
Kaka, HAKUNA asiyetaka au kutamani kufanya maovu (uzinzi, uasherati, ufisadi, uchawi, ulozi, ufiraji , husuda na mengine yote yalotajwa na MTUME PAULO-WAGALATIA 5:19-21). Hata hivyo, mwili (binadamu) unao uwezo wa kujizuia kupitia roho wa MUNGU (utashi). Isingekuwa hivyo, maovu yangekuwa mchanga wa bahari kwa wingi. Hakuna asiye na tamaa asilani ila self discipline ndiyo hutuzuwia kuufuata moyo muda wote.
Anajaribu kutetea jambo ambalo hata akiulizwa faida zake hawezi nyoosha maelezo.
 
Siku utapoona connection ya mdogo ako wa kike akiliwa kiboga baada ya kuleweshwa pombe ndio utakapoelewa
Hawa ndio wanafanya ulimwengu unakuwa na mambo ya hovyo, watu wenye maadili wakikemea wanaleta ligi, ila waulize wanafanya nini kukemea uovu, ni maziro brain tu yanayo manga manga hapa mjini.

Huyo unaweza kuta anabaka hata watoto huyo.
 
Watu wanaongea kirahisi rahisi wakifikiria wanawake wanaolengwa ni makahaba wanaowanunua uko kitambaa cheupe hawajui hata dada zao, wadogo zao wa kike nao ni jinsia KE.

Wanayofanya wanawake ni machafu kwa kusema kweli. wanawake wanatumia vibaya uhuru na utetezi wanaoupata kutoka kwenye mamlaka, jamii na asasi za kiraia.

Hawa wanajiita ferminists ni wa kupigwa breki, sio wanawake wa kupewa popularity kwenye media wala social networks, hawa ni virusi hatari sana kwa mustakabali wa jamii.
Lengo lao watu tukae kimya ili uovu usambae then baadae waje kusema wanaume hatukuchukua hatua kumbe tulikuwa tunaandika magazeti kila siku.
 
Mbona hao wanawake wa kisasa ni asilimia ndogo sana hata 1% hawafiki, ila uzito mkubwa uko kwenye hao wake zetu wamajumbani ni hatari kuliko hao wa kisasa, omba mungu usitendewe.
Kwa utafiti gani ulioufanya? We umechanganyikiwa na ndoa yako hujui ulisemalo
 
Mama yako kakufundisha kutumia dildo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe binti ndio tabia yenu hiyo kusagana na mama yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujumbe umeshakufikia. You know your place now. Ukiona naweka hoja zangu ubaoni usishoboke nazo. Hizi mada zinachangiwa na wanawake na wanaume, ukike ukike na unajimix kama mwanaume sitaki hizo pigo za kiwaki zinanitoa kwenye mwendo.

Usipende kujichekesha sehemu ambapo hakuna comedy. Hapa ni serious. Soma tokea juu huko watoto wa kiume walivyokuwa wanarusha punchlines na hoja za kiume hadi nikawa nachechemea.

Wewe unakuja unaniletea pigo za upinde mimi siwaki na hizo culture za akina delicious, nikalie mbali sodoma na Gomorra breed.
 
Back
Top Bottom