Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Noted with thanks
 
Inaitwa kuifata dunia.ndoa kwao ni utumwa,maana ndoa ni ibada na wao hawataki Ibada kwa sababu shetani ndie kiongozi wao
Wamemkiri na kumkubali shetani na namna zake zote na wapo tayari kumtumikia. Unataka kujua shetani amewavaa hawa mabinti na wanatumika kisawa sawa, kaa na binti wa miaka 20 pisi kali ambaye yupo kwenye prime yake kila sehemu anahitajika, wachungaji wanambembeleza aende kanisani wamtomase matiti wakimuombea, malecturer wanampa SAP makusudi aende ofisini waombe mchezo, viongozi wanaweka rehani ofisi za utendaji wawateuwe ili wawe karibu nao, familia zao zinawaganda kama lulu ya thamani ili yoyote ataye taka kuwa nao awalipe sababu wao ndio wazaa chema.

Shetani nae hayupo mbali maana anajua kuwa akimkata akili huyu atawaangusha wengi sana. Ataangusha taasisi zitazompa nafasi sababu ya uzuri wake, ataangusha wanaume za watu wataomfuata, watakompenda watavunjwa mioyo kwa maumivu ya kuachwa na hiyo sumu itawabadili wanaume kuwa makatili na waharibifu kwa mabinti wasio na hatia huko mbeleni, picha za utupu na mitego zitawafanya mabinti wenye miili ya kawaida yenye mvuto wa wastani kumrejea MUNGU na vilio vya majuto ya kuzaliwa wa kawaida na kuhisi hawana thamani kwa wanaume, etc.

Shetani ana hila sana mzee.
 
Hii excuse wanaipenda kweli kweli.
Jumlisha na hakumpenda ila aliolewa kwa shida.
Hapo ni kutaka kupata nafasi ya kufanya hii hoe phase. Rejea kisa cha huyu muimba gospel. Jiulize kwann ametoka katika ndoa na umri umeenda, sababu anataka kuenjoy hoe phase.

Amevumilia sana kuona akina wema, irene uwoya, wakifanya umalaya na kufanikiwa na kuendelea kuvuta macho ya wanaume, yeye hapati hiyo privilege, amejificha ndoani. Anataka na yeye aone raha ya kulala na mwanaume mwingine nje ya mwanaume wake wa miaka 10+ .

Anataka aone utamu wa damu changa ya vijana wanao jua kuingia chumvini na kukupakia mkongo.

Hoe phase ikiisha utaona anavyorudi mikono nyuma huku ameufyata.
 
Kuna swali moja nalikumbuka "unapo muita yule malaya jinsia fulani kwani anafanya na mtu asiyekuwa malaya mwenzake"
So kwa mfano, mwizi amekuja kukuibia nyumbani kwako akakamatwa na kuadhibiwa, je na wewe uadhibiwe kwa kuweka mali zinazotamanisha wezi kuiba?

Kuna maswali unapouliza jitathimini unataka kusuggest nini acha kujificha kwenye kichaka cha ujinga ukijiona ni mwerevu.

Wewe unaonyesha wazi ni Simp, na upo hapa kutimiza wajibu wako. Nao ni kuwaambia wanawake wa kisasa kuwa wasiohofu, wanaume wajinga wa kuwatetea wapo wasisikilize maonyo ya wanaume wachache wanaokemea uovu wao.

Go on and be a simp, there's a hoe somewhere awaiting for your warm welcome when she's done with Hoeing phase.
 
Mwanamke akiamua kuifata dunia usishindane nae mwache azunguke nayo
Ni hatari sana kwa sasa kuoa mwanamke ambae ameruka stage atakuja zibukia kwenye ndoa kufanya yale aliyotakiwa kufanya akiwa form two
Kabisa. Na ndio maana tunawapa vijana shule ili wazipoteze muda wao na wanawake ambao wapo ulimwengu kufanya kazi ya yule muovu.

Kanuni ni ile ile. Mwanaume weka maisha yako katika mtiririko huu kama una mpango wa kufuaria wakati wako hapa duniani.

Kwanza ni MUNGU then unafuata +MWANAUME yaani wewe binafsi na mipango yako bila kumshirikisha mwanamke then inafuata +PURPOSE ya maisha yako /sababu ya wewe kuzaliwa (eg. BIASHARA, UVUMBUZI, UTUMISHI, UJASIRIAMALI) then upate +WATOTO sio lazima uoe ili kupata hawa watoto(usizae ukaachia watoto mwanamke) then +LEGACY ambayo itaacha mark yako nyuma ukishazeeka, then with or without a WIFE mwanamke anakuja kwenye maisha yako kutafuta maisha yake haji kukutengenezea future wewe na hiyo wameshaweka wazi tena wanasema bila hofu wala aibu why wewe uone vibaya kuweka wazi plan ya Maisha yako bila mwanamke= then utaweza kupata HAPPY RETIREMENT LIFE na sio kuwaza kupata kisukari na pressure na kufa ukishafika miaka 50 au 60 tu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…