Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Simp wote wauwawe
 
Tafuta hela bro uache makasiriko kwenye maisha ya watu,
Life is too short, be happy and wild
Ukitafuta wewe pesa inatosha. Mimi kutafuta pesa tu sio mwisho wa Maisha, before pesa kuna maisha. Kama haujui hilo endelea na mpangilio wako niache na huu wangu mzee. Life is short for the dead brains who came in life as tourists, for the intelligent life is never short.

Go on and be wild.
 
Hakuna mwanaume malaya
Kuna uzi nilishaelekeza why mwanaume haitwi Malaya. Ila majitu hayasomi kazi kudandia dandia hoja bila kuelewa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa huyo ametumia neno malaya na hata hajui kuwa wanaume hilo neno halitumiki kwetu.
 
Naona simp upo kazini. Wanasemwa wanawake mwanaume unaumia, hii inakupa taswira gani ya haiba yako kama jinsia Me ambaye hajielewi anasimamaje kwenye jamii?

Si ajabu wewe hata james delicious akiwa anapigwa spana utasema aachwe ni maisha yake kachagua.

Hauihitajiki kujitambulisha kwa maneno kuonekana unasimama au kuegemea upande gani, maneno yako tu yanaonyesha wewe ni wa vipi.

Have some balls mtoto wa kiume.
 
Where iz your logic ? [emoji848]
 
Kwa mfano wewe ni mwafrika then nikawazungumzia wazungu kwa sifa zao mbaya. Then wewe ukaomba mic kuchangia mada ukadeclare kuwa wewe si mzungu ni mwafrika na unasimamia maslahi ya waafrika tu then ukaanza kuninanga kuwa nina ongea rubbish juu ya wazungu.

Maswali ya kujiuliza;

(a)Wewe ni kweli mwafrika na unasimamia interest za waafrika?

(b) Kama jibu ni NDIO hapo juu kwenye swali (a),naomba kujua, inakuwaje sasa mwafrika kindaki ndaki mtetea maslahi ya waafrika kuchukizwa na hoja za mleta mada kuwaponda wazungu?

Hauoni unatia mashaka kutetea na kuchukizwa na hoja zinazolenga kushambulia kundi unalodai kuwa haumo?

Msisitizo: Mada sio wazungu na waafrika. Ni wanawake wa kisasa wenye maadili na wanawake wa kisasa wanaoishi kwenye "hoe phase". [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…