Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Naona simp upo kazini. Wanasemwa wanawake mwanaume unaumia, hii inakupa taswira gani ya haiba yako kama jinsia Me ambaye hajielewi anasimamaje kwenye jamii?

Si ajabu wewe hata james delicious akiwa anapigwa spana utasema aachwe ni maisha yake kachagua.

Hauihitajiki kujitambulisha kwa maneno kuonekana unasimama au kuegemea upande gani, maneno yako tu yanaonyesha wewe ni wa vipi.

Have some balls mtoto wa kiume.
Utapomaliza kuongea ujinga na kunitukana uniambie tujenge hoja. Upo 21st century unataka umtunze mtu ambae tokea la saba katolewa bikra na boda boda...at chuo ana maisha mazuri kuliko mwanaume wa miaka 25...unataka umwambie nini...ndo maana nasema haya maisha kila mtu ashinde mechi zake pambana na uliyowazaa
 
mbona umeacha usagaji
Usagaji hauna impact ya madhara ya kudumu maisha yote ni sehemu ya mwanamke kupandisha mizuka ya kingono tu ila mwisho wa siku akishazaa na kupata watoto usagaji huwa unatoweka kwa namna ya haraka sana.

Ni bora mwanamke kuwa msagaji kuliko kuingiliwa kinyume na maumbile. Msagaji akishazaa anaweza kuacha maana life la familia litamtoa kwenye akili za kungonoka.

Ila akiliwa kinyume na maumbile ile physical damage ya njia ya haja kubwa itamletea madhara ya maisha yote.
 
Ningetaka kuolewa ningekua nishaolewa tokea zamani
Kwasasa bado sihitaji ndoa
Hauhitaji ndoa au hauna hadhi na vigezo vya kuolewa? [emoji848]

Hakuna mwanamke mwenye quality ya ndoa halafu akawa mitaani ana mangamanga akiliwa na wanaume ambao wanamtumia kama spermtank ya kukamulia taka mwili wanazotoa kama bao kisha anakwenda kuoga kwa malipo ya tuhela kidogo a.k.a "kuhudumiwa".

Kwa kifupi, ungekuwa wa kuolewa ungekuwa ni mke wa mtu kwasasa ila shida ni hauna vigezo na si kwamba umeamua kuwa ulivyo.
 
At least ukioa ambae alishapitia stage zote hizi atakua na exposure kwahiyo yote yatakayoendelea ataona hakuna jipya so ako na possibility kubwa ya kutulia kwa ndoa kuliko kuoa hawa wanaojifanya watakatifu halafu baadae wanaingia kwenye mfumo ule aliongia mama yetu wa zakayo shusha nyavu.
 
Usagaji hauna impact ya madhara ya kudumu maisha yote ni sehemu ya mwanamke kupandisha mizuka ya kingono tu ila mwisho wa siku akishazaa na kupata watoto usagaji sijui huwa unakimbiliaga wapi.

Ni bora mwanamke kuwa msagaji kuliko kuingiliwa kinyume na maumbile. Usagaji akishazaa anaweza kuacha maana life la familia litamtoa kwenye akili za kungonoka.

Ila akiliwa kinyume na maumbile ile physical damage ya njia ya haja kubwa itamletea madhara ya maisha yote.
🤣Sema unatetea usagaji kwa Sababu we kama mwanaume ukiona wasagaji unadisa...yaani ukiangalia wanaume maadili kwao ni ilimradi yamfavour yeye
 
Hauhitaji ndoa au hauna hadhi na vigezo vya kuolewa? [emoji848]

Hakuna mwanamke mwenye quality ya ndoa halafu akawa mitaani ana mangamanga akiliwa na wanaume ambao wanamtumia kama spermtank ya kukamulia taka mwili wanazotoa kama bao kisha anakwenda kuoga kwa malipo ya tuhela kidogo a.k.a "kuhudumiwa".

Kwa kifupi, ungekuwa wa kuolewa ungekuwa ni mke wa mtu kwasasa ila shida ni hauna vigezo na si kwamba umeamua kuwa ulivyo.
Ningeolewa nikiwa na miaka 19
Ningeolewa nikiwa na miaka 21
Ningeolewa hata mwaka huu
Na bado umri wangu unaniruhusu kukaa miaka mingine 7 mbele bila pressure ya ndoa

Kwa dunia ya sasa hivi wanawake wengi ndoa si kitu kwao na ndio maana ndoa zinavunjika sanaa
 
Sema Zemanda sio kwamba kelvin samuels amekuharibu?

Nakubali ujana una mambo mengi lakini umetia chumvi nyingi kwenye uzi wako

Hayo mambo yatakuwepo, ila kwa kiasi kidogo kumbuka tz haipo secular kama huko US kwa kelvin
Before sija submit kwa Kevin apprenticeship program, nilikuwa nipo upande huu huu, na yeye amekuwa ni role model kwa kutembea lane niliyopo.

Nachotaka kusema ni kabla sijakutana na Kevin, mimi nilikuwa hivi hivi na ideologies zangu. Huwezi tu amka overnight una ufahamu wa mambo fulani sababu umesikiliza mtu fulani.
 
Back
Top Bottom