Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Point yako ni ipi sasa,tusikemee uhovyo, tupigie kampeni uovu kuongezeka au ?
 
Nakuambia coz ukifuatilia kila mtu anavyoishi hutamaliza na kila mtu anaendeshwa kwa tamaduni zake
 
Hii yote inatokana na mambo ya haki sawa.

Wanawake wana fedha, ajira, wana maamuzi halafu wana kiungo ambacho wanaume tunakitaka always.

Ukijumlisha yote haya mwanamke anakuwa na nguvu isiyodhibitika na ndo tatizo linapoanzia.
True mzee.
 
Kumbe huwa wana kawaida ya kutest namba 11
Utastaajabu ukiwasikia wanayojadili kuhusu hiyo kitu mzee. Mimi nilishuhudu mazungumzo yao kwa usiri wa hali ya juu. Wanaongelea kuweka kitunguu maji ile njia kama namna ya kukata harufu na kuzuia uchafu kutoka kama namna ya kulinda image yao. Ni fedheha mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…