Well said...Ningeolewa nikiwa na miaka 19
Ningeolewa nikiwa na miaka 21
Ningeolewa hata mwaka huu
Na bado umri wangu unaniruhusu kukaa miaka mingine 7 mbele bila pressure ya ndoa
Kwa dunia ya sasa hivi wanawake wengi ndoa si kitu kwao na ndio maana ndoa zinavunjika sanaa
Watu wengi sana hasa waafrika watanzania,Akikujibu nishtue kaka mkubwa
Kwa namna umesema ni sawa na kusema at least ukinunua gari used kwa bei ya gari mpya unakuwa umepunguza usumbufu wa kujua ubora wa gari sababu atakaelitumia na kukuuzia atakupa ushuhuda wa ubora wa hilo gari baada ya kulitumia muda mrefu sana na kulichoka kisha akakuachia kwa bei kuzidi ya soko kwa model mpya ya gari hiyo hiyo uliyonunu.At least ukioa ambae alishapitia stage zote hizi atakua na exposure kwahiyo yote yatakayoendelea ataona hakuna jipya so ako na possibility kubwa ya kutulia kwa ndoa kuliko kuoa hawa wanaojifanya watakatifu halafu baadae wanaingia kwenye mfumo ule aliongia mama yetu wa zakayo shusha nyavu.
Watanzania ni watu wa kupenda kupangia wengine maisha na kutaka kuwa washauri na wasemaji wa maisha ya wengine.!!Watu wengi sana hasa waafrika watanzania,
They have a clear idea on how other people should lead their lives but none about their own life.
Ndio maana watanzania wengi hujiangaisha sana kufuatilia maisha ya wengine huku ya kwao yakiwashinda.
Obvious mwanamke akiwa na mwenzake kitandani watupu mimi kama mwanaume mwenye testosterone levels za juu lazima nipate msisimko na kuwatamani kuwapelekea moto.[emoji1787]Sema unatetea usagaji kwa Sababu we kama mwanaume ukiona wasagaji unadisa...yaani ukiangalia wanaume maadili kwao ni ilimradi yamfavour yeye
It's okayWhat if sifuatilii ili nimalize bali nafuatilia ili kupata contents za kuelimisha jamii ya wanaume wenzangu? [emoji848]
Madhara ya ushoga ni yapiObvious mwanamke akiwa na mwenzake kitandani watupu mimi kama mwanaume mwenye testosterone levels za juu lazima nipate msisimko na kuwatamani kuwapelekea moto.
Ila tukiongelea upande wa madhara fanya wewe tathimini madhara ya Wasagaji ni yapi?
Anatenda nini...kwani jamii inataka nini...inamlipa nini akiwa ana shida..jamii inamlipa Kodi ..inamlipia ada watoto wake....as long as Kuna Malaya Kuna wanaonunua...hawadangii wanawake wenzao so tatizo ni jinsia zote mbiliYeye kuwa hivyo ina uhusiano gani na anayo yatenda ambayo yanaidhoofu jamii.
Umesema vema ungeolewa ila haukuolewa so it means wamaume waliokuacha wakaenda kuoa pengine ndio washindi na wewe ndie umefeli mtihani.Ningeolewa nikiwa na miaka 19
Ningeolewa nikiwa na miaka 21
Ningeolewa hata mwaka huu
Na bado umri wangu unaniruhusu kukaa miaka mingine 7 mbele bila pressure ya ndoa
Kwa dunia ya sasa hivi wanawake wengi ndoa si kitu kwao na ndio maana ndoa zinavunjika sanaa
Mimi ndiye nilikataa kuolewa na hao wanaumeUmesema vema ungeolewa ila haukuolewa so it means wamaume waliokuacha wakaenda kuoa pengine ndio washindi na wewe ndie umefeli mtihani.
Ukifungua mgahawa halafu wateja wakaanza kuja kuulizia chakula huku wewe ukiwakatalia na kuwaambia hauuzi, na wao wakienda migahawa ya jirani na kupata huduma na kwenda zao, maswali ya kujiuliza:
1. Je, nani anapoteza muda na resources zake, ni wewe ambaye unapamba mgahawa wako kwa viti na meza za kisasa, na muonekano mzuri na kisha unapika chakula kizuri na wahudumu unaweka unawavisha vizuri kisha kulipa mshahara mzuri na kulipa kodi kubwa ya pango then unagomea wateja wanaovutiwa kuja kula kuwauzia msosi? Nani anapoteza hapo, wateja au wewe?
2. Unahisi mgahawa ni wako tu eneo ulipo na bila wewe watu hawatakula?
3. Unahisi chakula chako ni kitamu sana na hata kikichacha na kuwa kiporo wateja watakitaka uwapashie wanunue kwa bei ya chakula fresh from the kitchen?
Msisitizo: Siongelei chakula na biashara ya mgahawa na wateja wa chakula. Naongelea mwanamke na uzuri wake na wanaume waowaji. Akili kumkichwa.
Hivi wanawake/mabinti wa kisasa unaweza watofautisha au kuwatenganisha na umalaya kwa mienendo yao?Dada mkubwa umemaliza, nilitaka nimjibu hivi huyu Zemanda naona umeniwakilisha kwa comment yako.!!
Tatizo hajui kutofautisha mwanamke wa kisasa na malaya walioamua kuboresha umalaya wao.!!
Hiyo ya mountain ni ajenda nyingine, tukirudi kwenye Malaya, ni kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja.Kama neno umalaya halina jinsia basi hata neno Mountain linaweza tumika kumaanisha kifusi cha mchanga. Au rundo la takataka.
Apprenticeship haimaanishi protege nadhani ndio neno ulilotaka kutumia kumaanisha nipo under spell ya Guru.Sasa kwanini ukachukua apprenticeship?
Sikatai kwamba hao online gurus wanaweza kusaidia watu, lakini mara nyingi wapo kimaslahi zaidi, wanapiga pesa. Na mimi sishauri uamini mtu mwenye kitu cha kukuuzia.
Haya mambo yako ya simps, sijui sexual market value, hoe phase.... hayapo kama unavyofikiria. Kumbuka mitandao inakuza sana mambo na sio kila lisemwalo ni sheria
Hivi wanawake/mabinti wa kisasa unaweza watofautisha au kuwatenganisha na umalaya kwa mienendo yao?
Zingatia uhalisia usianze kutumia hisia kunijibu.
Mfano ni hai na ipo mingi, wanawake wanaweka wazi bila hela mwanaume hautakuwa na guarantee ya kuwa nae wewe pekee yako, meaning yupo available kwa wanaume watakaompatia pesa kukuzidi dau lako kama mwanaume wake.