Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Thus hata mimama iliyovuka stage ipo bize kujiachia na kuvunja ndoa zao wengine wanasema waliolewa wadogo

Hii excuse wanaipenda kweli kweli.
Jumlisha na hakumpenda ila aliolewa kwa shida.
Jumlisha na Kupigania Usawa wa kijinsia wanaita 50/50 washenzi wakubwa hawa😂
 
Natoka familia masikini na hivyo naweza kukuambia kwa hakika kuwa hizo ni tabia tu za mwanamke mchafu aweza kuwa tajiri au masikini
Unatoka familia maskini, lakini nikuambie tu ndugu I guess ushaanza anza kujipata na kuwa na exposure ya maisha ndo maana wewe sio limbukeni wa kuiga vitu, sio wa kutaka usipitwe na fashion ya lifestyles.....choose good lifestyles sio bad lifestyles, 😅😅 hujawai sikia nay kaimba...unajichora matatoo na hayo matatoo unatembea kwa miguu....
 
Uzi una kichwa kinasema "Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii".

Hujui kuandika, kusoma, kufikiri au vyote?
Yeah ndio kichwa cha uzi kinasema hivyo sasa nionyeshe ni wapi nimesema haya niliyoandika ni majumuisho ya maoni na mawazo ya wanawake na sio my personal and individual observation. [emoji848]
 
1. Spirit ya kiume kuvunjika. Ikivunjika haitengenezeki tena hata ufanyaje.

2. Wanaume viongozi wanatoweka. Jamii yenye mashoga kufeli ni rahisi sana.

3. Maambukizi ya virusi hatari wasiotibika kama HIV, herpes na wengine wengi. Na hatari zaidi au chanzo cha magonjwa mengi kwa wanawake miaka hii ukeni.

4. Mashoga kwa shoga hawazai na hata akikuta na mwanamke wengi huwa hawana hisia so ni possible wasipate watoto

5. Mashoga hawana maisha marefu sababu ya depression, upweke, magonjwa ya zinaa, na matatizo ya kiafya kama kansa ya utumbo na njia ya haja kubwa ambayo ni guarantee kubwa sana kutokea kuanzia miaka 40+.

6. Ni kunyume na mpango wa MUNGU.

7. Ni uchafu wa kiakili na kimwili sababu ya namna tendo linafanywa na fikra za mtu anayefanya na kufanywa wanachoona na kukiwaza.

8. Ni mbaya kwa ustawi wa jamii especially wanawake kukosa wanaume wa kufanya nao maisha na kuwalelea familia.
1. Spirit ya uanaume ni ipi na unaithibitishaje
2. Nchi zilizoendelea zina viongozi Bora na maendeleo Bora na yameruhusu ushoga. Andiko lako ni batili.
3. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa ni makubwa nchi ambazo hazina ushoga kihalali kuliko zenye ushoga kihalali...batili tena.
4. Una uhakika Gani wa kisayansi kwamba shoga hazai...hatoi manii? Manii hazina sperms? Kuna watu wana watoto na wake na ni mashoga na wengine ni mastaa kabisa... Batili
5. Hayo matatizo Yanamkuta mtu yoyote yule....so batili
6. Mungu wa dini Gani, dini uliyoletewa na wazungu na waarabu kwenye meli au dini zipi hizo.... Mungu wako sio mungu wa kila mtu. Imani ni tofauti mtu na mtu..
7. 🤣So wewe kunyonya mate ya binadamu mwenzako ni usafi sawa... Nimekuelewa batili...
8. Nani kakosa wanaume...niambie sehemu hata moja duniani ambapo wanawake wamekosa wanaume. Wanawake wana probability kubwa ya kutokuwa single kuliko wanaume coz wapo wanaume wenye wanawake wengi, wapo wanawake wasiotaka mahusiano, wapo wasagaji pia...
Batili...
Sitetei ushoga au tabia yoyote ila naonyesha mtu anavyoongea kwa hisia tu akidhani kila mtu yupo darasa la pili.
 
Mtu akinywa pombe atalewa kama vile akinywa sumu atakufa ila unaweza ukapiga risasi juu mwingine akakimbia na mwingine akakufuata na kukunyangaya hio bunduki reactions to stimulus are not necessarily the same from the fact that people are different (there are so many variables) ambazo inategemea mtu na mtu na perception yake.

Ndio maana nimekwambia kuna nymphomaniacs na kuna wengine they hate the deed (maybe walikuwa raped au they are just rigid au wana hobbie / priority zingine) So they act differently...,

Kama tu unaweza kuweka mikate kwenye oven moja mingine ikaiva na mingine ikaungua ije kuwa different people (different variables) reacting differently alafu utegemee kuwa na same outcome...

The mere fact unadhani a bunch of different people can act the same just as pre-programmed robots makes me think you are oversimplifying the issue
Well, bado sijaona how is all this any of my business hadi niache kuongea kile ambacho kina matter kwenye jamii yangu.

Kama wewe ni wale ambao ukiona society ina fall apart unavuta shuka na kulala usingizi mzuri mimi ni wale ambao nikinusa misconducts nafanya kitu just to bring about stability and order.

If you don't like that sioni shida ipo wapi kuni ignore tu, or you want me to do what? [emoji848]
 
Uzi umevamiwa na wanaojiita #Non believers ni shida tupu
Haya ndio matokeo ya jamii kukalia kimya m'momonyoko wa maadili, utomvu wa nidhamu na malezi ya hovyo hadi unapata kizazi cha nyoka mtu anakuhoji kwann unakemea umalaya, udangaji, ushoga, na maisha ya kingono, as if hiyo inampa yeye atmosphere ya utulivu kichwani mwake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Spirit ya uanaume ni ipi na unaithibitishaje
2. Nchi zilizoendelea zina viongozi Bora na maendeleo Bora na yameruhusu ushoga. Andiko lako ni batili.
3. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa ni makubwa nchi ambazo hazina ushoga kihalali kuliko zenye ushoga kihalali...batili tena.
4. Una uhakika Gani wa kisayansi kwamba shoga hazai...hatoi manii? Manii hazina sperms? Kuna watu wana watoto na wake na ni mashoga na wengine ni mastaa kabisa... Batili
5. Hayo matatizo Yanamkuta mtu yoyote yule....so batili
6. Mungu wa dini Gani, dini uliyoletewa na wazungu na waarabu kwenye meli au dini zipi hizo.... Mungu wako sio mungu wa kila mtu. Imani ni tofauti mtu na mtu..
7. [emoji1787]So wewe kunyonya mate ya binadamu mwenzako ni usafi sawa... Nimekuelewa batili...
8. Nani kakosa wanaume...niambie sehemu hata moja duniani ambapo wanawake wamekosa wanaume. Wanawake wana probability kubwa ya kutokuwa single kuliko wanaume coz wapo wanaume wenye wanawake wengi, wapo wanawake wasiotaka mahusiano, wapo wasagaji pia...
Batili...
Sitetei ushoga au tabia yoyote ila naonyesha mtu anavyoongea kwa hisia tu akidhani kila mtu yupo darasa la pili.
Huwezi kuelewa spirit ya kiume kama tu umeniuliza swali ambalo jibu lake unatakiwa uwe nalo hata kabla haujaona nukta ya sentence nilipoongelea spirit ya kiume. Hivi nikakuonyesha logo ya Mercedes Benz au Ferrari halafu ukaniuliza ni kitu gani hicho nimekuonyesha na tunaongelea magari si nitakuwa napoteza muda wangu na mtu ambaye hata hazitambui famous car brands za dunia.

2. Nakusaidia tu marekani na uingereza na Canada kwa mfano, je unajua zipo hali gani kwasasa kiuchumi ukilinganisha na miaka ya kuanzia 1980 kurudi nyuma? Kabisa unaweza sema wapo katika level bora ukilinganisha na miaka ya nyuma? Na unajua madhara ya ushoga katika hayo mataifa? Halafu mbona kama unatetea ushoga? [emoji848]

3. So, ushoga kutokuwa halali au halali how will that affect matokeo yake eneo la maambukizi ya magonjwa ya zinaa as long as watu wanaendelea kuambukizana huko wanapofanya kizani, kwan hata huko walipohalalisha wanafanyia nje, si wanafanya vyumbani mwao, how is that even relevant hapa?

4. By shoga i meant 100% shoga kama akina james delicious. Sio bisexuals ambao anafamilia nadhani huwa wanawapa jina la mchicha mwiba au basha. Sasa sijui unajua impact ya reverse intercourse kwenye sperm production. Usinilete kwenye huo mjadala please go do your homework usinipe kazi ya kusoma uchafu tena i had a rough time digesting the knowledge.

5. Huo ni mtazamo wako ila haina uhusiano na uhalisia maana mimi sijatengeneza majibu.

6. Kama kwako MUNGU ni tofauti mimi kwangu naangalia unachofanya. Kama alichokukataza wewe ndicho nilichokatazwa mimi then we call him by different names but he's the same God.

7. How does even this apply in this discussion? [emoji848]
8. Kama haujawahi ona wasimbe ambao wanakesha kwa mwamposa tu wakiomba ndoa, bado sijasema kwa mama rwakatale wale wa upepo wa kisurisuri na makanisa mengine ya upako, hapo sijakupeleka misikitini ukaone matangazo ya request za ndoa wanawake wanaomba kwa masheikh, mufti na maimamu, bado kitaa huku, sasa sijui mwenzetu umeamua tu kushindwa kuona.

Hadi unajihami kusema hautetei ushoga ina maana tayari umeweza baini red flags zako mwenyewe. Yaani una achia hewa chafu halafu unawahi kutangaza kuwa kama mtu atanusa hewa kali asije kusema wewe umechafua hewa, huoni tayari unajiweka katika list ya mtuhumiwa namba moja? [emoji848]
 
Siku moja nampiga mashine huku nafikicha mbususu kama naingiza kidole. Nasikia ananiambia yaani hapo nakuwa kama napigwa na wanaume wawili. Nilishtuka
Hii sio ngeni na haishangazi wala kustua tena. Kuna mabinti ni fantasy yao kufanyiwa ile sex ya kuingiliwa na wanaume watano, au 10 kwa wakati m'moja apate kuona raha zake kisha wakifika kileleni wamwagie shahawa mwilini.

Haya wanayapata kwenye ngono. Wewe unadhani hadi serikali kuamua kufungia mitandao ya ngono isisome chanzo ni kipi? [emoji848]

Kuna vitu vinaendelea humu uraiani ukiambiwa unaweza sema mtu ni muongo anatunga story zake.
 
Well, bado sijaona how is all this any of my business hadi niache kuongea kile ambacho kina matter kwenye jamii yangu.

Kama wewe ni wale ambao ukiona society ina fall apart unavuta shuka na kulala usingizi mzuri mimi ni wale ambao nikinusa misconducts nafanya kitu just to bring about stability and order.

If you don't like that sioni shida ipo wapi kuni ignore tu, or you want me to do what? [emoji848]
Ukiona kinakwenda kombo unafanya nini ? Hio ndio issue ya maana mfano ukiona watu wanaanza kufa ghafla ukaamua kuchunguza ni nini kimebadilika huenda ni yale maji machafu ya kisimani hivyo ukaenda kuyapima (that is constructive) lakini kwa imani zako ukaamua kuwaambi mabibi wazee wa kijiji jirani wamewaloga (hivyo tukawapige) au ni Mungu amekasirika tupunguze muda wa kulima na tuongeze kusali (that is actual detrimental)

Kwahio wewe fanya unachofanya ila kwenye hii open forum huwezi kuja na statement ambazo at best they are not accurate tukuache tu uendelee eti sababu unafanya something...
 
Mimi huwa naamini kila mwanamke huwa anakisket kifupi sana na huwa anakivaa chumban kwake na kujitazama kwenye kioo hata kama ni bibi mwenye miaka 60
Kuna m'moja alisema anatamani sana kupelekeana moto na chizi m'moja muokota makopo amevaa nguo imechanika chanika ana karoti imekaza balaa. Sasa yule dada ukimuona yupo freshi tu ni pisi ya kwenda, anasema akimtazama yule chizi anatamani siku amwite aionje.

Me nikamwambia aliyekuwa anatuambiwa kuwa huyo chizi siku atamvuta na atampa game. Wanawake wa kisasa akili zao wanazijua wao wenyewe.
 
Ukiona kinakwenda kombo unafanya nini ? Hio ndio issue ya maana mfano ukiona watu wanaanza kufa ghafla ukaamua kuchunguza ni nini kimebadilika huenda ni yale maji machafu ya kisimani hivyo ukaenda kuyapima (that is constructive) lakini kwa imani zako ukaamua kuwaambi mabibi wazee wa kijiji jirani wamewaloga (hivyo tukawapige) au ni Mungu amekasirika tupunguze muda wa kulima na tuongeze kusali (that is actual detrimental)

Kwahio wewe fanya unachofanya ila kwenye hii open forum huwezi kuja na statement ambazo at best they are not accurate tukuache tu uendelee eti sababu unafanya something...
Okay, so reason with me, hapa unasema nimefanyaje na ulipendekeza nifanyaje? [emoji848]

Sababu simply nilichofanya ni ku identify tatizo na kulist indicators za tatizo. Then here comes you to attack my report.
IMG_20220609_015853.jpg
 
Kichwa cha uzi kinatoa observation yako kuhusu kila mwanamke, umejuaje mawazo ya kila mwanamke?
Unajua nashindwa kukuelewa? Unaongelea kwamba mimi nawaongelea wanawake kwamba nabashiri matendo yao au naongelea wanawake wa kisasa kwa kuwatazama wanachofanya na kukiongelea? [emoji848]

So mfano wewe, ukiwa ni kiongozi wa serikalini then unatembea na wake za watu, unakula rushwa, unaiba pesa za serikalini, unatumia vibaya madaraka yako.

Mimi nikija kulist hizi tabia zako na kusema tabia za fulani ambaye ni kiongozi wa serikalini amefanya hili na hili na hili, hapo nakuwa nasoma mawazo yako au nakuwa nimeibua matendo yako ya hovyo hadharani kwa kuyalist kutokana na mwenendo wako wa wazi wazi na sio kuhisi akili yako inawazaje? [emoji848]
 
Back
Top Bottom