Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
- Thread starter
- #281
Does "kila mwanamke wa kisasa" automatically means "wanawake wote wa kisasa"?Si umesema KILA au?
Ulisoma hesabu za set? [emoji848]
Unaona umuhimu wa masomo ya sekondari sasa?
What if nikikwambia kila mwanamke wa kisasa isipokuwa wale ambao wanaretain traditional values za mwanamke.