Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

You are entitled to your own opinions but no one is entitled to your own facts...., Na haiwezi kuwa factual ukiweka neno KILA (which means wote) kwenye kadamnasi ya watu ambao wapo tofauti na kuwaweka kwenye fungu moja... Sasa kama wewe na hao watu wako wanaokupongeza all the best ingawa wewe na watu wako no matter how many they are humuwezi kubadilisha nyeusi ikawa nyeupe
Kila = each (selective)

Wote = all (inclusive)

Upo serious kabisa kunichallenge na matumizi ya haya maneno. Na nimekuelezea basi mwambie abadili. Kichwa cha habari sasa sijui kisemeje.
 
Sidhani kama ni common kumkuta mwanamke wa miaka ya sabini, sitini, hamsini au miaka ya arobaini na saba anafanya matendo niliyolist hapo.

Anyways, unaponiuliza kuwa ni wanawake wote ama vipi, what are you trying to insinuate? Yaani unataka kuprove nini katika kupata specific number ya hiyo demographic? [emoji848]

Hayo ni kwa mujibu wa maelezo yako, nataka kujua zaidi kuhusu hichi ulichokiandika. Umekuja na tafsiri yako ya ukisasa, kisha ukaweka tabia zao na kutaka kupachika wanawake hizo tabia. Hauoni unapotosha jamii?

Sio common kukuta mwanamke wa hiyo miaka akifanya hivyo vitu lakini wapo, hali kadhalika kuna wanawake wamezaliwa miaka ya 1980 na hawana hizi sifa umeziweka hapa hata moja.

unatolea mfano niende online nijihakikishie watu ntakaowakuta huko, kweli niende bar kisha nishangae kukuta walevi? Eboh

Nafikiri umeamua kuja na jina jipya la makahaba kama wanawake wa kisasa. Lazima wote watakua na hizo sifa.
 
Sasa tukianza kuulizana kwa mujibu wa nani utaanza kunipa kazi ya kuanza kukuchimbulia vyanzo vys kihistoria kukuelezea jambo simple tu ambalo ulitakiwa uelewe maana yake na kujua matumizi sahihi.

Kwa mwanaume tunasema muasherati au mzinifu mwanamke malaya au kahaba.

Kama ni kwa maamuzi ya kila mtu anaweza kusema chochote basi tubaki na tafsiri za kila mmoja anavyoelewa.
Uasherati (tendo la ndoa nje ya ndoa)
Uzinzi (tendo la ndoa kwa waliokwnye ndoa na mtu asiye mwanandoa mwenza)
Ukahaba (Kufanya tendo la ndoa kwa kujipatia kipato na mtu asiye mwanadoa mwenza)
Umalaya (tendo la ndoa mtu zaidi ya mmoja asiye mwanandoa mwenza)
 
It actually doesn't. I am just pointing out that your observation is fundamentally wrong since you do not have the capacity to observe what you claim to observe.

You just make up shit.
If i stay in a small town of 100, 000 people situated in the middle of a country with a total population of 55,000,000 people including those 100, 000 people in my town, who every day drink heavily by 99% of them not including me.

And i make a statement online which then viewed by most of 55,000,000 population, and i say, "Watu wa hii inchi ni walevi sana". And you, living outside and far from my small town. Will that statement be factual to you, or will it be me making a fundamentally wrong observation because you don't seem to notice anyone drinking around you like the way i notice no body being sober around me? [emoji848]
 
Ni matumizi mabaya ya maneno kwan ndio neno la kwanza kutumika vibaya?

Kuna maneno mengine mengi watu hutumia sehemu sio yake.

Mfano:

Kumwita mwanamke mzuri MREMBO. kumbe kuna tofauti ya matumizi ya neno mrembo na mzuri, mwanamke anaweza akawa mzuri na asiwe mrembo, anaweza kuwa mrembo ila si mzuri lakini anaweza kuwa mrembo na mzuri kwa wakati m'moja.

Same kuna watu walikuwa wanatumia neno UKATA kumaanisha (surplus) na Ukwasi kumaanisha deficit.

Maneno yapo mengi ambayo watu wengi hukosea matumizi yake sahihi sababu ya mazoea ya kusikia wengine wakitumia hivyo.

Matumizi mabaya according to who?
 
Hayo ni kwa mujibu wa maelezo yako, nataka kujua zaidi kuhusu hichi ulichokiandika. Umekuja na tafsiri yako ya ukisasa, kisha ukaweka tabia zao na kutaka kupachika wanawake hizo tabia. Hauoni unapotosha jamii?

Sio common kukuta mwanamke wa hiyo miaka akifanya hivyo vitu lakini wapo, hali kadhalika kuna wanawake wamezaliwa miaka ya 1980 na hawana hizi sifa umeziweka hapa hata moja.

unatolea mfano niende online nijihakikishie watu ntakaowakuta huko, kweli niende bar kisha nishangae kukuta walevi? Eboh

Nafikiri umeamua kuja na jina jipya la makahaba kama wanawake wa kisasa. Lazima wote watakua na hizo sifa.
Kama nimechunguza wanawake 100 au 1000 wa kisasa nikisema wanawake wa kisasa nitakuwa sahihi not necessarily niwataje kwa majina wanawake 1000 nitamaliza leo?

And why wewe ukazie kuwa ni wote wakati niliyeandika uzi sijaweka huo msisitizo unaotaka wewe uwepo ili ufanikishe ajenda yako? [emoji848]
 
Kama ni kwa maamuzi ya kila mtu anaweza kusema chochote basi tubaki na tafsiri za kila mmoja anavyoelewa.
Uasherati (tendo la ndoa nje ya ndoa)
Uzinzi (tendo la ndoa kwa waliokwnye ndoa na mtu asiye mwanandoa mwenza)
Ukahaba (Kufanya tendo la ndoa kwa kujipatia kipato na mtu asiye mwanadoa mwenza)
Umalaya (tendo la ndoa mtu zaidi ya mmoja asiye mwanandoa mwenza)
Sawa, basi baki na hiyo maana kama ninachokwambia unakataa. Na pia mjane ni mwanaume aliyefiwa na mkewe, na pia baba aliyefiwa na mke na watoto anaitwa Yatima. Au sio? [emoji848]
 
Kama nimechunguza wanawake 100 au 1000 wa kisasa nikisema wanawake wa kisasa nitakuwa sahihi not necessarily niwataje kwa majina wanawake 1000 nitamaliza leo?

And why wewe ukazie kuwa ni wote wakati niliyeandika uzi sijaweka huo msisitizo unaotaka wewe uwepo ili ufanikishe ajenda yako? [emoji848]

''Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii''

Wakati unaandika hivi ulitarajia kitu gani?
 
Sawa, basi baki na hiyo maana kama ninachokwambia unakataa. Na pia mjane ni mwanaume aliyefiwa na mkewe, na pia baba aliyefiwa na mke na watoto anaitwa Yatima. Au sio? [emoji848]

Ni wapi huko hiyo mifano ya yatima na wajane inatumika?
 
Kwa namna umesema ni sawa na kusema at least ukinunua gari used kwa bei ya gari mpya unakuwa umepunguza usumbufu wa kujua ubora wa gari sababu atakaelitumia na kukuuzia atakupa ushuhuda wa ubora wa hilo gari baada ya kulitumia muda mrefu sana na kulichoka kisha akakuachia kwa bei kuzidi ya soko kwa model mpya ya gari hiyo hiyo uliyonunu.

So nikuulize swali, mfano akija mtu akakuuzia iphone 7 pro max iliyotumika tena na mtumiaji zaidi ya m'moja kwa bei sawa na ya Iphone 15 pro max mpya ya dukani, utanunua na kujiona umefanya maamuzi sahihi?
emoji848.png

Yaani, utasema afadhali nimenunua hii iphone 7 pro max imetumika lakini ipo vema sana na aliye tumia amenihakikishia alinunua ikiwa mpya na ameithibitisha kuwa ni original na ina guarantee ya ubora. Sipendi kununua hizi za sasa nasikia unaweza lipia bei ya juu na ukauziwa za kichina ingawa ni mpya
emoji848.png

Unaweza kuwa mwendawazimu kiasi hicho kwenye matumizi ya pesa yako uliyoitolea jasho kununua kitu used na cha zamani kwa bei ya juu sawa sawa na bei ya modeli mpya ya hicho cha zamani ikiwa mpya kabisa bila kutumika popote?
emoji848.png
Ooh sijajua kwanini umeamua kutumia mfano huu wa kifaa ambao mostly muundo wake ni wakibiashara so the more kinavyotumika ndio the more kinavyopoteza ufanisi so probably siwezi kununua kifaa used kwa bei sawa na ya dukani wakati najua tayari kimeshatumika sana so ufanisi wake uko mashakani.

So mfano wako ukiuleta kwa upande huu utaingia kwenye upande wa umri maybe ila mimi sikuingia kwenye engo ya umri bali ya experience ndio maana ukiniletea dereva ambae ametoka kuhitimu pale NIT na yule ambae alishahitimu na akaifanyia kazi elimu yake kwa zaidi ya miaka kadhaa na akaanza kunihadithia ajari kadhaa ambazo aliwahi kuzipata akiwa kwenye majukumu yake basi mimi nitaenda na yeye bila kujali ya kwamba alishaangushaga gari coz naamini kwenye hizo ajari alizowahi kuzipata zimempa funzo na kumkomaza kama dereva.

Kwahiyo ni experience mkuu na sio uchakavu, coz wadada wengi wenye hizo tamaa tajwa hapo juu ni wale wa 20s ila wengi wakishaingia kwenye 30s akili zinawakaa sawa na wale wanaowahi kuolewa kwenye hiyo age ya 20s ndio huwa hawatabiriki ni lini watakengeuka kutamani kuyaishi hayo maisha tajwa hapo juu maana kuna wengine wanaweza kuacha familia zao hata 40s na wakaenda kuhangaika na maisha yanayofanywa na wajukuu zao heheheee
Well nina habari mbaya kwako then kama una apply formula ya experience ya dereva wa roli kwenye experience ya mahusiano ya awali ya mwanamke kwenye uhusiano mpya.

The longer the list ya wanaume aliyokuwa nayo mwanamke the damaged goods she'll be. Mwanamke aliyepita na wanaume kuanzia wawili tayari huyo ni damaged goods na kuna shortcomings utakutana nazo na utaishi nazo ukizijutia maisha yako yote.

Si kila kitu kina appreciate in value with time. Mfano bidhaa kama iPhone with time ina loose value kwenye soko sababu features zake zinaanza kuwa outdated kwa users.

Nimelinganisha iphone na mwanamke ambaye ana compete kwenye soko la uzuri na wanawake wenzake.

Mwanamke ni kama samaki mbichi, akiwekwa mezani anunuliwe kabla jioni haijafika. Akiringa kuuzika, akilala atachina na hatanunuliwa kwa bei nzuri tena kesho yake sababu ni samaki wa jana. Nani anataka samaki aliyechina kwa bei sawa na samaki wa leo?

Cha zaidi anaweza tupwa akaliwe na paka wa jalalani a.k.a kuolewa na mwanaume wa hovyo asiye na mbele wala nyuma.

Ukisema mwanamke aliyeliwa anakuja na experience nipe faida unazopata na experience ya mwanamke aliyeliwa sana. Me nitakupa baadhi.

1. Uke wake unakuwa wa baridi sababu joto la uke ni matokeo ya kupanda kwa mapigo ya moyo, ambayo huagizwa na ubongo kupeleka damu kwa wingi kwenye uke ili kuupa joto ambalo hutumika kupasha uume wa mwanaume msisimko ili nao uweze kurequest flow kubwa ya damu kutoka kwenye ubongo wake ns kuweza kupelekeana moto. Mwanamke aliyeingiliwa sana hana tofauti na mwanamke mzee au ajuza eneo hili anakuwa wa baridi huko chini so hautafurahia kulala nae.

2. Hakunaga one shoe size fits all feet type of shoes. Kiatu kizuri ni kile kinachovaa mguu wako vema na hata kikikupwaya ukivalia soksi unaweza tembelea. Maumbile ya mwanamke aliyepitiwa na wanaume mara nyingi hukosa sifa ya kushika uume vema hata kama yalitanuka kwa muda fulani. MUNGU amemuumbia mwanamke alijifungua mtoto au watoto ila halali hovyo na Wanaume nje ya mumewe namna ya maumbile yake kujirudia na still yakatoa joto zuri la kumsisimua mwanaume sababu ya ile hali ya mwili wake kuguswa na mwanaume huyo tu ila amemnyima mwanamke kahaba /malaya uwezo wa uke wake kuweza kumpa joto mwanaume na kumfanya asisimke. Ni scientifically proven na studies zilifanywa india huko.

3. Mwanamke akiliwa sana anakuwa mentally unavailable kudeal na leadership ya mwanaume m'moja so kichwani mwake yeye anamilikiwa na wanaume wote waliomla awali hata ufanyaje hutaweza wafuta hawa watu.

4. Reputation ya mwanamke akiyeliwa sana huwa ina precedes her, tegemea siku ndugu, rafiki, au jirani yako, pengine hata coworkers au associate aseme anamjua mkeo kutoka tukio fulani la ngono. Utajiskiaje kujua mkeo alishawahi kuliwa na rafiki yako before hamjakutana?

5. Heshima kwa watoto. Mwanaume mwenye akili hutafuta mke mzuri na mtulivu ila baba mwenye hekima huwatafutia watoto wake mama bora. Hiyo aibu ya mkeo kulala na wanaume wengi unayoifumbia macho, kuna siku watoto wako watasikia wazee (age mates wako) wakizungumzia namla mama yao alivyokuwa analiwa kipindi fulani na mwana fulani. Watoto watakudharau sana baba yao kwa kutozingatia utu wao na kuwachagulia mama used ambaye hakujiweka katika position ya heshima for her future kids.

Nadhani hizi points chache zinakutosha kusukutulia akili yako.
Hahahaaa umenifanya nicheck hapo kwenye kusukutulia akili.

Umeandika kwa fusuli ila bado ninashaka na hizi point zako kwa maana kwanza hizi point zako zimelalia sana upande wa makahaba kwahiyo ni labda zimetoka nje ya tunachokijadili hapa au pengine mimi sijaielewa hii mada kwa uzuri.

Nilidhani mwanamke tunaemzungumzia hapa ni yule ambae anataka kuwa free, yaani hataki kuwa chini ya himaya ya mtu kwahiyo kama anataka kwenda out anaenda kama anataka kusafiri anasafiri kama amelitamani penzi la Thecoder basi anamtafuta wanaenda kuhave fun, yaani hivyo yani.

But wewe umetoa point za mwanamke ambae ameamua kujiuza ila sio yule anaetamani apitie mambo kadha wa kadha kama ulivyotaja kule kwa bandiko la uzi huu.

Na kingine kwa point yako ya kwamba mwanamke akilala na mwanaume zaidi ya mmoja basi kichwa yake inakua na wote hao, hii nayo haina nguvu kwa maana sikuhizi watu kuoa mwanamke ambae sio bikra ni jambo la kawaida mno na ni ngumu kujua tangu atolewe bikra hadi amekutana na wewe ameshalala na wanaume wangapi, kwahiyo kwa point yako hii ni sawa na kuuaminisha uma humu kwamba wake zao kwa asilimia kubwa wanaangukia kwenye hizo sifa tajwa hapo juu.

Wanawake ni binadamu wa kawaida kwahiyo tusiwachukulie kwamba labda wanaudhaifu saaaana na pia nisisitize kwamba sipingani na huu uzi ila imani yangu bado iko pale pale kwamba mwanamke ambae ameshaishi maisha ya uhuru na kupitia zile stage zote ambazo alikua anazitamani kupitia akimaliza na akaamua sasa nataka kuolewa bila shinikizo la mtu yeyote huyu lazima atulie kwenye ndoa coz hana asicho kijua.

Nikuibie tu siri mkuu mwanamke wa hivyo ndio namtaka mimi.
 
Ni wapi huko hiyo mifano ya yatima na wajane inatumika?
Ulikuwa haujawahi kuona miaka ya nyuma kabla ya neno mgane kutumika, wanaume waliofiwa na wanawake zao walikuwa wanawaitaje?
 
Ooh sijajua kwanini umeamua kutumia mfano huu wa kifaa ambao mostly muundo wake ni wakibiashara so the more kinavyotumika ndio the more kinavyopoteza ufanisi so probably siwezi kununua kifaa used kwa bei sawa na ya dukani wakati najua tayari kimeshatumika sana so ufanisi wake uko mashakani.

So mfano wako ukiuleta kwa upande huu utaingia kwenye upande wa umri maybe ila mimi sikuingia kwenye engo ya umri bali ya experience ndio maana ukiniletea dereva ambae ametoka kuhitimu pale NIT na yule ambae alishahitimu na akaifanyia kazi elimu yake kwa zaidi ya miaka kadhaa na akaanza kunihadithia ajari kadhaa ambazo aliwahi kuzipata akiwa kwenye majukumu yake basi mimi nitaenda na yeye bila kujali ya kwamba alishaangushaga gari coz naamini kwenye hizo ajari alizowahi kuzipata zimempa funzo na kumkomaza kama dereva.

Kwahiyo ni experience mkuu na sio uchakavu, coz wadada wengi wenye hizo tamaa tajwa hapo juu ni wale wa 20s ila wengi wakishaingia kwenye 30s akili zinawakaa sawa na wale wanaowahi kuolewa kwenye hiyo age ya 20s ndio huwa hawatabiriki ni lini watakengeuka kutamani kuyaishi hayo maisha tajwa hapo juu maana kuna wengine wanaweza kuacha familia zao hata 40s na wakaenda kuhangaika na maisha yanayofanywa na wajukuu zao heheheee

Hahahaaa umenifanya nicheck hapo kwenye kusukutulia akili.

Umeandika kwa fusuli ila bado ninashaka na hizi point zako kwa maana kwanza hizi point zako zimelalia sana upande wa makahaba kwahiyo ni labda zimetoka nje ya tunachokijadili hapa au pengine mimi sijaielewa hii mada kwa uzuri.

Nilidhani mwanamke tunaemzungumzia hapa ni yule ambae anataka kuwa free, yaani hataki kuwa chini ya himaya ya mtu kwahiyo kama anataka kwenda out anaenda kama anataka kusafiri anasafiri kama amelitamani penzi la Thecoder basi anamtafuta wanaenda kuhave fun, yaani hivyo yani.

But wewe umetoa point za mwanamke ambae ameamua kujiuza ila sio yule anaetamani apitie mambo kadha wa kadha kama ulivyotaja kule kwa bandiko la uzi huu.

Na kingine kwa point yako ya kwamba mwanamke akilala na mwanaume zaidi ya mmoja basi kichwa yake inakua na wote hao, hii nayo haina nguvu kwa maana sikuhizi watu kuoa mwanamke ambae sio bikra ni jambo la kawaida mno na ni ngumu kujua tangu atolewe bikra hadi amekutana na wewe ameshalala na wanaume wangapi, kwahiyo kwa point yako hii ni sawa na kuuaminisha uma humu kwamba wake zao kwa asilimia kubwa wanaangukia kwenye hizo sifa tajwa hapo juu.

Wanawake ni binadamu wa kawaida kwahiyo tusiwachukulie kwamba labda wanaudhaifu saaaana na pia nisisitize kwamba sipingani na huu uzi ila imani yangu bado iko pale pale kwamba mwanamke ambae ameshaishi maisha ya uhuru na kupitia zile stage zote ambazo alikua anazitamani kupitia akimaliza na akaamua sasa nataka kuolewa bila shinikizo la mtu yeyote huyu lazima atulie kwenye ndoa coz hana asicho kijua.

Nikuibie tu siri mkuu mwanamke wa hivyo ndio namtaka mimi.
Stop SIMPING. Wewe acha kuwa simple minded hivyo hadi unajibinya haki zako. Mabinti bikra wapo na wanapatikana bila shida sema wewe huna jeuri ya kuwinda ila unaweza vilivyonyongwa au mizoga.

Wewe una assume kila mwanaume anaepata mwanamke basi ni used, jambo ambalo si kweli.
 
Back
Top Bottom