Kila mwenye umri wa miaka 40+asome huu ujumbe unamhusu kwa asilimia million!

Kufa kupo pale pale....sema labda kupunguza hivyo ili kupunguza masumbuko wakati wa kukielekea kifo....lakini sio kulinda uhai.
 
Vp suala la service? Eeh mara. Ngapi kwa wiki...na muda upi unafaa zaidi?labda alfajiri au usiku.......🙂
 
Naunga mkno uzi ila nanyongeza kidogo hapo.

Ukifika 35 anza kuikimbia nyama nyekundu

Jambo lingine fanya ngono salama walau mara 3 kwa wiki, hili ni jambo muhimu, kuna watu wanateseka na udhoofu wa afya ya mwili na akili simply kwa sababu hawafanyi ngono salama.

Ukiweza nunua PlayStation, mpira au kifaa chochote cha michezo uwe unacheza na familia yako, watu wengi wana misongo ya mawazo simply kwa sababu wameacha kucheza wakifikiri michezo ni kwa ajili ya watoto tu. Watoto hawana stress si kwasababu hawana majukumu (in fact na wao wana majukumu, kufaulu mtihani wa Grade One ni jukumu pia) ila hawana stress sababu wanacheza sana.

Chunguza watoto, mtoto mwenye furaha na mchangamfu mwenye afya ya nuru ni yule anayecheza zaidi. Nyima mtoto kucheza uone atavyokuwa na stress.

Mimi ni hayo tu wakuu.
 
Wanaopenda kuchezea k je?!!!
 
Bora hatujakatazwa kitimoto
 
Sasa si bora ungeandika kwa kifupi tu kwamba kila mwenye miaka 40 ajiue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…