Kila mwenye umri wa miaka 40+asome huu ujumbe unamhusu kwa asilimia million!

Kila mwenye umri wa miaka 40+asome huu ujumbe unamhusu kwa asilimia million!

Ijapokuwa umelenga wenye 40+ ila hata chini ya hapo waanze kuyaishi hayo maisha itawalipa sana mbeleni
Juzi nilikua najifunza kitu kipya kinaitwa Oxalic acid kinapatikana sana kwenye vyakula, unaambikwa hio oxalic acid ukila kwa wingi mara kwa mara ikiungana na calcium au iron inaenda kutengeneza mawe kwenye Figo na ukiwa na mawe kwenye Figo si unajua mtiti wake Saratani ikasome, nikishtuka kidogo
 
Mkuu yaani hata m-power na songesha?!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo ndo hatari kwasababu unakuwa addicted. Mikopo sio poa mkuu hasa umri ukiwa umesonga. Ukiingia kwenye 30s anza kuchukua tahadhari za kutosha. Wanaosema life starts at 40 ni waongo
 
Juzi nilikua najifunza kitu kipya kinaitwa Oxalic acid kinapatikana sana kwenye vyakula, unaambikwa hio oxalic acid ukila kwa wingi mara kwa mara ikiungana na calcium au iron inaenda kutengeneza mawe kwenye Figo na ukiwa na mawe kwenye Figo si unajua mtiti wake Saratani ikasome, nikishtuka kidogo
Duuuh! Asante kwa elimu hii. Unaweza kutussidia kuvitaja vyakula vyenye Oxalic acid nyingi mkuu
 
Duuuh! Asante kwa elimu hii. Unaweza kutussidia kuvitaja vyakula vyenye Oxalic acid nyingi mkuu
Ukigoogle inakuletea list yote ya vyakula vyenye oxalic acid Ila inashauriwa usile kwa wingi maana ndio chanzo cha kutengeneza hivyo vimawe,

Pitia hapa hii list

Upo sahihi mkuu tuna 35yrs Ila matatizo yameshatumavia
Watu wengi huwa hatuchukulii matatizo ya afya kama ni haki zetu, bali hujawa na kiburi kama Kuna watu wameumbiwa. Hebu jifikirie umewahi kufikiri kifo ni haki yako? Ukisikia mwenzako amekufa unapata hisia kwamba yeye alistahili na wewe bado una haki ya kuishi.

Kama Kuna ugonjwa natamani kila mtu apime angalau mara moja kwa mwaka ni Kisukari. Ajabu ya ugonjwa huu unaweza ishi nao hata miaka 10 bila dalili zozote, ila utakapogundua tu basi na kukonda utaanza siku hiyo hiyo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Najitahidi sana Kupunguza matumizi Baba ila Inaniuwia vigumu sana yani kuna muda mpak nahisi labda ni Tabia ya Kurithi ila najitahid kupunguza matumizi ya Chumvi.
Badilisha hilo jina lako kwanza,ukibadilisha misukosuko ya kulazimisha kutumia chumzi itaanza kuach kukuandama
 
Back
Top Bottom