Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
- Thread starter
-
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sina maana hiyoSasa si bora ungeandika kwa kifupi tu kwamba kila mwenye miaka 40 ajiue!
Juzi nilikua najifunza kitu kipya kinaitwa Oxalic acid kinapatikana sana kwenye vyakula, unaambikwa hio oxalic acid ukila kwa wingi mara kwa mara ikiungana na calcium au iron inaenda kutengeneza mawe kwenye Figo na ukiwa na mawe kwenye Figo si unajua mtiti wake Saratani ikasome, nikishtuka kidogoIjapokuwa umelenga wenye 40+ ila hata chini ya hapo waanze kuyaishi hayo maisha itawalipa sana mbeleni
Hizo ndo hatari kwasababu unakuwa addicted. Mikopo sio poa mkuu hasa umri ukiwa umesonga. Ukiingia kwenye 30s anza kuchukua tahadhari za kutosha. Wanaosema life starts at 40 ni waongoMkuu yaani hata m-power na songesha?!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Duuuh! Asante kwa elimu hii. Unaweza kutussidia kuvitaja vyakula vyenye Oxalic acid nyingi mkuuJuzi nilikua najifunza kitu kipya kinaitwa Oxalic acid kinapatikana sana kwenye vyakula, unaambikwa hio oxalic acid ukila kwa wingi mara kwa mara ikiungana na calcium au iron inaenda kutengeneza mawe kwenye Figo na ukiwa na mawe kwenye Figo si unajua mtiti wake Saratani ikasome, nikishtuka kidogo
Ukigoogle inakuletea list yote ya vyakula vyenye oxalic acid Ila inashauriwa usile kwa wingi maana ndio chanzo cha kutengeneza hivyo vimawe,Duuuh! Asante kwa elimu hii. Unaweza kutussidia kuvitaja vyakula vyenye Oxalic acid nyingi mkuu
Watu wengi huwa hatuchukulii matatizo ya afya kama ni haki zetu, bali hujawa na kiburi kama Kuna watu wameumbiwa. Hebu jifikirie umewahi kufikiri kifo ni haki yako? Ukisikia mwenzako amekufa unapata hisia kwamba yeye alistahili na wewe bado una haki ya kuishi.Upo sahihi mkuu tuna 35yrs Ila matatizo yameshatumavia
Badilisha hilo jina lako kwanza,ukibadilisha misukosuko ya kulazimisha kutumia chumzi itaanza kuach kukuandamaNajitahidi sana Kupunguza matumizi Baba ila Inaniuwia vigumu sana yani kuna muda mpak nahisi labda ni Tabia ya Kurithi ila najitahid kupunguza matumizi ya Chumvi.