Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
hiki ndo kitu kinanishinda nashaangaa kuna watu hawajaliii kabisaKula mbunye mkuu, ARV zipo haulipii hata senti
Na ukiambiwa upime ndo mnakimbia nyiePiga mzigo acha woga kijana
Inawezekana pia unaokoteza okoteza tu chafuchafu ndio maana sample yako unakutana na waathirika pekee.Aiseee😎
ChaiAiseee😎
Nikikua nawatamani kingono ile mbayaMleta mada kati ya hao kuna uliyempenda kwa dhati?
Apige mzigo in exchange of his life?Piga mzigo acha woga kijana
Akili kumkichwaNa ukiambiwa upime ndo mnakimbia nyie
Usidanganywe na maneno eti Ukimwi si ugonjwa kwa sasa,wanajipa moyo tu ila ugonjwa ule siyoNaskia ngoma hata ukimeza ARVs magonjwa ya maudhi hayaishi! mara leo homa, kichwa kuuma, mara kuarisha arisha yaaaani hakuna kupoa 😁😁😁
Kila ugonjwa siyo mkuu.Usidanganywe na maneno eti Ukimwi si ugonjwa kwa sasa,wanajipa moyo tu ila ugonjwa ule siyo