GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
HAkuna ukweli.Naskia ngoma hata ukimeza ARVs magonjwa ya maudhi hayaishi! mara leo homa, kichwa kuuma, mara kuarisha arisha yaaaani hakuna kupoa 😁😁😁
Kama CD4 zitapanda kwanini upate magonjwa ya maudhi.