Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo.

Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.

View attachment 2361631
wewe utakuwa wa dini ile
 
Niliota watu wawili kazini wananifukuza nitoke mahala nilipo nirudi nyumbani kwetu mkoa B

Nini hii?
 
Kumuota mara Kwa mara mtu aliyekufa yaani aipiti mwezi una muota na haukuwa na ukaribu naye na ni miaka mingi kipindi Cha uhai wake hamkuonana lkn haipiti mwezi unamuota?
 
Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo.

Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.

View attachment 2361631
Wewe usinidanganye. Kwa zaidi ya muaka kumi naota naokota hela na haijwahi kutokea naokota hela kama kwenye hizo ndoto.
 
Nimeota Niko darasani nafanya mtihani msimamizi ni mwamke huo mtihani nilikuta wenzangu wameisha uanza swali la mwisho kujibu mda ukawa umeisha
 
Kakayangu aliota yakua mm mdogo wake nimeenda porini niwatu kadhaa huko nyumbanikijijini kwetu ,tukawa tumeua nyoka mm nikamleta nyumbani nakukatakata huyo nyoka Aina yachatu kisha kwenda kuuza,je hii ndoto aliyoniambia Kaka inatafsri gan???!!!!
 
miezi michache iliyopita niliota nina nimekua na hisa nyingi tu katika hospital ya kanda hapa Tanzania ili hali maisha yangu sijawa na uwezo huo..... Hii inamaana gani?

ndoto nyingine niliota naokota dhahabu eneo la karibu na nyumbani kwetu kuna njia flani inapita afu pembeni kuna kunakichuguu ndo ilipokuwa dhahabu tunaokota.....hii pia ina maana gani?
 
na vipi ukiota unaona kweny mbingu Kuna uwazi mkubwa wa duara Kama tundu la kuweza kupita mtu au watu, hila Kuna jamaa mmoja humu alikuwa anaitwa Freedom tommorrow ,huyu mtu akitafsiri ndoto lazima hiwe vilevile, sijui amepotelea wapi
Huyu mwamba alikuwa jabali la kutafsiri ndoto, sijui hata alipotelea wapi. Ndoto zangu nyingi alizonitafisria zilikuwa vilevile.
 
Mimi nmemuota manzi simjui na sijawahi kumuona tangu nizaliwe. Na akanipa namba yake. Na ilikua story tu, inamaanishaje?
 
Huyu mwamba alikuwa jabali la kutafsiri ndoto, sijui hata alipotelea wapi. Ndoto zangu nyingi alizonitafisria zilikuwa vilevile.
jamaa alikuwa yupo vizuri, labda katangulia mbele ya haki hatuwezi jua!
 
Nimeota nipo Mimi na babaangu tunawalimisha watu vibarua.

Hii maana take Nini?
 
Mimi nimeota usiku wa leo kuwa nyumba yangu ya Kijijini inaungua Moto mle ndani Kuna mtoto wangu mdg nikaenda nikamchukua nikaondoka nae Ila mke wangu akawa anataka aingie kuchukua vitu vingne nikamzuia aache tu viungwe maadamu mtoto tuko nae huyo mdg Ila sisi tuna watoto watatu Hawa wawili kwenye ndoto hawamo

Hii ndoto Ina maana gani?????

Ili Hali sisi Kijijini tumetoka yapata wiki tatu Sasa tumelud mjini kuendelea Na majukumu yetu ya kila siku

Ndoto nyingine ambayo Sasa huwa Ni Mara kwa Mara Ila Sasa hivi nimeona Ni kawaida ingawa mwanzoni ilinisumbua Sana Nikumwota Baba mzazi ambae kwa Sasa Ni Marehemu yapata mwaka Sasa hii inamaana gani naomba msaada nisingependa matusi
 
Back
Top Bottom