Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel ni project ya westerners (NATO) hapo kando ya middle east ili kuchuma mafuta na rasilimi zilizopo tu hapo.Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Wee mkaldayo rudisha hao mbusii sisini.Israel ni project ya westerners (NATO) hapo kando ya middle east ili kuchuma mafuta na rasilimi zilizopo tu hapo.
Believe me hilo taifa in reality halijawahi kuwepo bali tu ni mchongo wa wazungu kuwepo hapo kuvuruga amani ili wachukue mafuta.
Hawa waisrael mwitu akina The Mongolian Savage ni makenge tu ambao hawana jicho la tatu wao wako kama kile kibendera cha ccm kiliochanika kinayumbishwa na upepo tu.
Ngoja tutafikia mahali kule kwetu baharini wakipata sir port ya mizungu tutaambiwa hata tanga nyiker tuliitokea burundi tutoke turudi kwetu ili yachukue rasilimali zetu.
Akili mtu wangu. Huwezi elewa.
We kenge. Huwa unashabikia umaandazi umbwaaaWee mkaldayo rudisha hao mbusii sisini.
Umbwaa
Allah ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein
Kengele wewe.Mzee Thadayo analalamika kila siku unawaachia hao mbusii kuingia kwenye shamba lake la mahindi nakufanya uharibifu.
Mnada ukiisha na kuja kudeal na wewe.
Umbwaaa
Imam Hussein FOREVER
ww project ya nani??Israel ni project ya westerners (NATO) hapo kando ya middle east ili kuchuma mafuta na rasilimi zilizopo tu hapo.
Believe me hilo taifa in reality halijawahi kuwepo bali tu ni mchongo wa wazungu kuwepo hapo kuvuruga amani ili wachukue mafuta.
Hawa waisrael mwitu akina The Mongolian Savage ni makenge tu ambao hawana jicho la tatu wao wako kama kile kibendera cha ccm kiliochanika kinayumbishwa na upepo tu.
Ngoja tutafikia mahali kule kwetu baharini wakipata sir port ya mizungu tutaambiwa hata tanga nyiker tuliitokea burundi tutoke turudi kwetu ili yachukue rasilimali zetu.
Akili mtu wangu. Huwezi elewa.
Usilalamike leta solution.Israel ni project ya westerners (NATO) hapo kando ya middle east ili kuchuma mafuta na rasilimi zilizopo tu hapo.
Believe me hilo taifa in reality halijawahi kuwepo bali tu ni mchongo wa wazungu kuwepo hapo kuvuruga amani ili wachukue mafuta.
Hawa waisrael mwitu akina The Mongolian Savage ni makenge tu ambao hawana jicho la tatu wao wako kama kile kibendera cha ccm kiliochanika kinayumbishwa na upepo tu.
Ngoja tutafikia mahali kule kwetu baharini wakipata sir port ya mizungu tutaambiwa hata tanga nyiker tuliitokea burundi tutoke turudi kwetu ili yachukue rasilimali zetu.
Akili mtu wangu. Huwezi elewa.
Yaani umejipofusha kujifanya pofu! wakati unafahamu majeshi YOOTE ya allah yapo Gaza!Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Hii naijua hii.Tulifundishwa madrasa.Israel ni project ya westerners (NATO) hapo kando ya middle east ili kuchuma mafuta na rasilimi zilizopo tu hapo.
Believe me hilo taifa in reality halijawahi kuwepo bali tu ni mchongo wa wazungu kuwepo hapo kuvuruga amani ili wachukue mafuta.
Hawa waisrael mwitu akina The Mongolian Savage ni makenge tu ambao hawana jicho la tatu wao wako kama kile kibendera cha ccm kiliochanika kinayumbishwa na upepo tu.
Ngoja tutafikia mahali kule kwetu baharini wakipata sir port ya mizungu tutaambiwa hata tanga nyiker tuliitokea burundi tutoke turudi kwetu ili yachukue rasilimali zetu.
Akili mtu wangu. Huwezi elewa.
Kwendraaa 🤣🤣🤣Hii naijua hii.Tulifundishwa madrasa.
Bado niponipo sana tu.😂Kwendraaa 🤣🤣🤣
Moisee. Tunajuana itikadi jomba hata tusipoelewana for a moment.Bado niponipo sana tu.😂
Unafikiri hamas wangejitenga na raia wakawa na makambi yao ya kijeshi na kuvaa kombati za kijeshi waache kuvaa kiraia hii vita isingemaliza hata wikiKufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Kunywa juicy ya malimao mzee itakusaidia kupooza Uchungu ulio naoKufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Sawa bhanaWew unajua kambi za kijeshi za Hamas zilipo utuonyeshe tumalize hii vita leo leo. Watu wanaishi kambi za wakimbizi na watoto wao...mara kwenye mashimo mara kwenye ma hospitals. Unazani hiyo tarehe 7/10/2023 wangevamia Russia wakauwa vile halafu wakachukua mateka ile Gaza ingekuwa na hali ganie sasa hivi? Israel ana huruma sana