Kila nikiandika kuhusu Triple C nafuta ... Ila hili limenishinda

ninosi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
151
Reaction score
333
Kila nikiandika nafuta.. Kila nikiandika nafuta.. Kila nikiandika nafuta..

Hili nimeshindwa kulifuta.. Eeeh Mwenyezi Mungu muumba mbingu na aridhi, binadamu na mimea (ikiwemo mizizi kama mihogo) naomba uendelee kumlinda na kumpa afya tela Triple C kwani kila akiwa uwanjani Taifa zima (na hata dunia yote) wote tunafurahi. Nasema Amen nikiamini umetenda.

NB: Tangu ligi imeanza, hakuna timu iliyowahi kumfunga Ruvu Shooting goli zaidi ya 2. Nyinyi mnaowalumu Ruvu Shooting mlipo kutana nao matokeo yalikuaje?!
Nakala...
Screenshot_2022-11-19-20-54-27~2.jpg
 
Hapo ndio umeonesha kula sembe hakujawahi kumwacha mtu salama..

hii timu sio ya kufungwa goli zaidi ya mbili, sasa Timu mbovu kama Simba inaweza vipi kumfunga ruvu goli 4??

Kwa izo takwimu zako tayari umethibitisha kabisa hapo bahashazimehusishwa
We tahira timu yako ilimfunga goli ngapi mlipokutana nae?!
 
Hapo ndio umeonesha kula sembe hakujawahi kumwacha mtu salama..

hii timu sio ya kufungwa goli zaidi ya mbili, sasa Timu mbovu kama Simba inaweza vipi kumfunga ruvu goli 4??

Kwa izo takwimu zako tayari umethibitisha kabisa hapo bahasha zimehusika
Ukizoea kutumia bahasha ili kupata matokeo usidhani wore tunatumia bahasha.
 
Achana na wala unga hao, unaona wameshinda leo meno yote yako nje lakini mayele akianza kutetema kila mechi utawaona mate yanawatoka kila pembe ya mdomo na hivi mzunguko wa pili watakuwa mikoani karibu mechi 10 utawaona watavyoshikana uchawi
 
Hapo ndio umeonesha kula sembe hakujawahi kumwacha mtu salama..

hii timu sio ya kufungwa goli zaidi ya mbili, sasa Timu mbovu kama Simba inaweza vipi kumfunga ruvu goli 4??

Kwa izo takwimu zako tayari umethibitisha kabisa hapo bahasha zimehusika
1668883645034.png
 
Nakupa taarifa .. Raundi ya 2 Simba SC ana mechi 8 nyumbani.. Hapo ndo mtaita maji mtaita mma.
 
Hapo ndio umeonesha kula sembe hakujawahi kumwacha mtu salama..

hii timu sio ya kufungwa goli zaidi ya mbili, sasa Timu mbovu kama Simba inaweza vipi kumfunga ruvu goli 4??

Kwa izo takwimu zako tayari umethibitisha kabisa hapo bahasha zimehusika
Harufu ya kinyesi na mihogo haijawahi kumwacha mtu salama.

Timu iliyotinga makundi CAFCL kwa kufungwa goli Moja tu,
timu inayoongoza kwa wingi wa magoli NBCpl (27), timu iliyofungwa magoli machache NBCpl(5), timu ambayo ina kipa anayeongoza kwa cleansheet (7) NBCpl eti ndo inaitwa mbovu halafu ile inayoshiriki kombe la looser ndiyo mnaita timu bora.

Hizo ni akili au matope? Hakika aliyewaita hamnazo hakukosea.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
We tahira timu yako ilimfunga goli ngapi mlipokutana nae?!
Sasa mi naww nani tahira?? Takwimu zako hapo mwenyewe zinaonesha ruvu sio timu yakufungwa goli 4.. Sasa huoni kama ni maajabu kufungwa goli nne Tena na timu mbovu km Simba?? Huoni huo ni muamala kabisa!! Punguza kubwia sembe
 
Timu mbovu ni ile inayoshiriki kombe la waliofeli ( CAFcc) .Timu bora zote zipo makundi CAFCL .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kila nikiandika nafuta.. Kila nikiandika nafuta.. Kila nikiandika nafuta..

Hili nimeshindwa kulifuta.. Eeeh Mwenyezi Mungu muumba mbingu na aridhi, binadamu na mimea (ikiwemo mizizi kama mihogo) naomba uendelee kumlinda na kumpa afya tela Triple C kwani kila akiwa uwanjani Taifa zima (na hata dunia yote) wote tunafurahi. Nasema Amen nikiamini umetenda.

NB: Tangu ligi imeanza, hakuna timu iliyowahi kumfunga Ruvu Shooting goli zaidi ya 2. Nyinyi mnaowalumu Ruvu Shooting mlipo kutana nao matokeo yalikuaje?!
Nakala...
View attachment 2421354
Ni kweli Mungu ni wa kumshukuru kwa kuumba mihogo. Ngada imeumbwa na Mbumbumbu SC

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Nawewe unataka nikujibu?? Hivi Kuna timu ishawahi kuchukua kombe la kufunga magoli mengi au machache?? Hivi huoni timu lako lilivo bovu kiasi cha kuzidiwa point na timu zilizocheza mechi chache???

Kabwie unga huko maana ndio kazi mnayoiweza
 
Hapo ndio umeonesha kula sembe hakujawahi kumwacha mtu salama..

hii timu sio ya kufungwa goli zaidi ya mbili, sasa Timu mbovu kama Simba inaweza vipi kumfunga ruvu goli 4??

Kwa izo takwimu zako tayari umethibitisha kabisa hapo bahasha zimehusika
Na hapa bahasha zilitembea siyo?
IMG-20220919-WA0005.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20220919-WA0052.jpg
    IMG-20220919-WA0052.jpg
    47.2 KB · Views: 1
Sasa mi naww nani tahira?? Takwimu zako hapo mwenyewe zinaonesha ruvu sio timu yakufungwa goli 4.. Sasa huoni kama ni maajabu kufungwa goli nne Tena na timu mbovu km Simba?? Huoni huo ni muamala kabisa!! Punguza kubwia sembe

Tangu ligi ianze Singida B.S hakuwahi kufungwa goli 4.. Juzi wala mihogo (kwa ufadhili wa mwenye timu) mmemuadhibu ipasavyo. We tahira unataka tusemr hili nalo ni ajabu baada ya Singida kufungwa goli4 na timu mbovu kama Utopolo?

Cc ndiga
 
Back
Top Bottom