Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Mimi nakianza naenda vizuri napungua najiskia mwepesi kisha kizuizi kama ubize wa kazi unanishika najikuta nimeacha. Ubaya ukianza tena maumivu yanaanza upya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimeanza tena, ntajitahidi nisiache, mwili uko poa
 
Watafit wanasema 80 ya watu huacha mazoezi baada ya mwez mmoja had miwili...hii husababishwa na fatiki sababu ya mabadiliko yanayatokea mwili so unakuwa unajihisi uchovu lakin ndio muda inabidi ujilazimishe ili mwili uweze ku adopt hayo mazingira so inabidi ukomae hivyo hivyo baafae itakuwa tabia.!.. Ninae kushauri hapa na mimi huwa naacha kama wewe ipa najua natakiwa nifanye nini kujisukuma kwenye mazoezi ni wito

Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
ndiyo, sasa nimeanza kwa hari mpyaaa
 
Unaacha kwasababu kiakili umeyachukulia kama adhabu lakini ukipatwa na tatizo na daktari akakwambia mazoezi tu ndio suluhisho la tatizo lako, utayageuza lishe na hautochoka.
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom