Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Hahaaa. Basi nitabeba raba tu kwani najua na fulana nitapata pia na ikikosekana basi ile yako ya Brazil au ya Simba utanipatia. [emoji85] [emoji85]
Haswaa, ntakupatia ile ya Brazil maana nnavokujua nikikupa ya Simba hayo mazoezi yatafanyika ukiwa umenuna🙂🙂
 
Wanasemaga "if something is important to you, you will always find time/motivation to do it''. Ukiona jambo lolote linakuwa zito kulifanya, deep down hujalipatia umuhimu wowote.

Unaweza kutafuta partner mwenye nia dhabiti ya kukupa support, weka azimio kwamba kwa siku hizi na hizi, lazima nifanye zoezi no matter what. Iwe kama ilivyo formula ya kula msosi au kwenda kibaruani ambapo lazima ufanya iwe isiwe. Pia uwe na lengo/goal maalumu, mfano kufanya sit-ups/pressup 40, kutembea kilometa tano/saa moja etc.
 
Kumbe unamaliza adi week mbili!? Mimi week tu sitoboi, na huu mwili nlio nae haviendani na umri kabisa, natamani sana kufanya mazoezi ila sasa kufanya kila siku ndo siwezi
 
yaaan nataman asubuh ifike tena niendelee,,

kichwa kipo vizuri, akili iko active yaaan

yaaan hapa nlipo hata hamu ya ku do imekata ghafla kwa ajili ya tizi la asubuhi
Kwa kawaida ukiwa mwanamazoezi hamu ya ku do sio kama inakatika, kinachotokea ile mihemko isiyokua na mpangilio ndio inadhibitiwa, sasa siku ya kupiga game ndio utajua kua mazoezi yanasaidia maana performance ya majambo itaongezeka kwa kila hali na sasa shemeji kwa furaha yake ndio atakua mtu wa kwanza kukuhimiza uwe unawahi mazoezini
 
Inabid iwe hvyo asee,mi kuanzia wiki ijayo ni naanza upya, tena napoish kuna kamlima flani hv nataka niwe nakapandisha kwa spidi raundi zangu 5 au 10 zitatosha
Anza kukimbia taratibu sehemu tambarare mkuu, ukianza kwenye hako kamlima ni rahisi kuchoka haraka na utajikuta tu mazoezi yanaku bore halafu unaacha
 
Back
Top Bottom