Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Mimi nakianza naenda vizuri napungua najiskia mwepesi kisha kizuizi kama ubize wa kazi unanishika najikuta nimeacha. Ubaya ukianza tena maumivu yanaanza upya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimeanza tena, ntajitahidi nisiache, mwili uko poa
 
ndiyo, sasa nimeanza kwa hari mpyaaa
 
Unaacha kwasababu kiakili umeyachukulia kama adhabu lakini ukipatwa na tatizo na daktari akakwambia mazoezi tu ndio suluhisho la tatizo lako, utayageuza lishe na hautochoka.
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…