Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Haswaa, ntakupatia ile ya Brazil maana nnavokujua nikikupa ya Simba hayo mazoezi yatafanyika ukiwa umenuna🙂🙂Hahaaa. Basi nitabeba raba tu kwani najua na fulana nitapata pia na ikikosekana basi ile yako ya Brazil au ya Simba utanipatia. [emoji85] [emoji85]
oooh namna hiyoMatani mazoezi ni muhimu kwa binadamu, unajua ukiniona utahisi ni miaka 20 coz mwili hauzeeki...
nimelianzisha kwa fujo,Hivyo najua kuanzia Wiki ijayo hautakuwa chauvivu tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]
majaribu na msambwandaChochote unachopenda lazima kikuvutie tofaut na hapo ni adhabu
hongera mkuuUzee shida wacha niendelee kuwa kijana nafaidi vingi.
safi sanaaaInabid iwe hvyo asee,mi kuanzia wiki ijayo ni naanza upya, tena napoish kuna kamlima flani hv nataka niwe nakapandisha kwa spidi raundi zangu 5 au 10 zitatosha
Jamaa kaleta uzoefu mwingine kabisa katika tasnia ya mazoezi na kujiweka fiti, hebu jaribu kuufanyia kazi ushauri wake pengine ndio ikawa muarobaini w wa kufanya mazoezia uvivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu masihara haya,
Kasi na nguvu vyote vipyandiyo, sasa nimeanza kwa hari mpyaaa
mtihani huuu , mwishowe itakuwa mengine si unajua macho tena yakionaJamaa kaleta uzoefu mwingine kabisa katika tasnia ya mazoezi na kujiweka fiti, hebu jaribu kuufanyia kazi ushauri wake pengine ndio ikawa muarobaini w wa kufanya mazoezia uvivu
yaaan nataman asubuh ifike tena niendelee,,Kasi na nguvu vyote vipya
Hahahahaaa macho yakiona yanapeleka ujumbe kwenye moyo! Zoezi linaweza badilika ikawa zoeeeeziiiiiii!mtihani huuu , mwishowe itakuwa mengine si unajua macho tena yakiona
Kwa kawaida ukiwa mwanamazoezi hamu ya ku do sio kama inakatika, kinachotokea ile mihemko isiyokua na mpangilio ndio inadhibitiwa, sasa siku ya kupiga game ndio utajua kua mazoezi yanasaidia maana performance ya majambo itaongezeka kwa kila hali na sasa shemeji kwa furaha yake ndio atakua mtu wa kwanza kukuhimiza uwe unawahi mazoeziniyaaan nataman asubuh ifike tena niendelee,,
kichwa kipo vizuri, akili iko active yaaan
yaaan hapa nlipo hata hamu ya ku do imekata ghafla kwa ajili ya tizi la asubuhi
Hahaaa. Umeonaeee.Haswaa, ntakupatia ile ya Brazil maana nnavokujua nikikupa ya Simba hayo mazoezi yatafanyika ukiwa umenuna🙂🙂
Hahaaaa. Mtani umeuaaaa.Uzee shida wacha niendelee kuwa kijana nafaidi vingi.
Anza kukimbia taratibu sehemu tambarare mkuu, ukianza kwenye hako kamlima ni rahisi kuchoka haraka na utajikuta tu mazoezi yanaku bore halafu unaachaInabid iwe hvyo asee,mi kuanzia wiki ijayo ni naanza upya, tena napoish kuna kamlima flani hv nataka niwe nakapandisha kwa spidi raundi zangu 5 au 10 zitatosha
Na sijui kwanini huipendi Brazil wakati mnavaliana jezi!Hahaaa. Umeonaeee.
Hiyo hiyo ya Brazil itanifaa Hajar mie.
Hahahaaaa. Lol. Eti "zoeeeziiiii"Hahahahaaa macho yakiona yanapeleka ujumbe kwenye moyo! Zoezi linaweza badilika ikawa zoeeeeziiiiiii!