Hahaaaaa. Sawa Sesten usijali.Dah! Belgium sijui kama nitaweza....Ufaransa walitupiga 98 hawa wametutoa 2018, ngoja niingie nikiwa neutral tu wote hao si watu wazuri
Hahahaha..huyu mkorofi kwelikweliHahahaaa. Ila we mchokozi lol.
Naja naja naja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uniletee hilo jibu bilakukosa eeh
Amejua kutuchekesha jamani..hahahaa..jf idumu mileleKa mie mdogo wangu nimecheka sana aisee.
Fake ids hizi basi mtu saa nyingine unapelekwa hata kule ambako siko au saa nyingine inakuwa sawa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Idumu jamaani maana kuna sehemu anasema mie navaa khanga mbili mbili nikajikuta najiangalia kisha nikacheka lol.Amejua kutuchekesha jamani..hahahaa..jf idumu milele
Wadumu na watu wake yna4Amejua kutuchekesha jamani..hahahaa..jf idumu milele
UsicheleweNaja naja naja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WadumuuuuuuuWadumu na watu wake yna4
Kwako tena hata sichelewi Sesten nakuja sasa hivi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usichelewe
Umesahau na Mods nao wadumu jamaani.Wadumuuuuuuu
Ila uje kwenye mazoezi uweke mambo sawa watu wasipige mluzi🙂😉Wadumuuuuuuu
Mlango upo waziKwako tena hata sichelewi Sesten nakuja sasa hivi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakaribia hapa. [emoji12] [emoji12]
Yani humu kunanipaga raha sana..kuna wakati unakutana na comment humu unajikuta tu unacheka kama umekaa na mtu pembeni huishia kukushangaa tuIdumu jamaani maana kuna sehemu anasema mie navaa khanga mbili mbili nikajikuta najiangalia kisha nikacheka lol.
Jf idumu idumu sababu kama kucheka tunacheka hasaaaa.
Na kweli Hajar na Mods nao wadumuuu, maana wasije wakaona tumewafanyia mtima nyongo na wao wakatulipizia wakatuhamishia Kenya....Wadumu Mods wa JFUmesahau na Mods nao wadumu jamaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie huwa inanitokea sana yaani hadi wameshanizowea ninaokuwa nao karibu sababu naweza cheka hasaaa.Yani humu kunanipaga raha sana..kuna wakati unakutana na comment humu unajikuta tu unacheka kama umekaa na mtu pembeni huishia kukushangaa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisaaa.Na kweli Hajar na Mods nao wadumuuu, maana wasije wakaona tumewafanyia mtima nyongo na wao wakatulipizia wakatuhamishia Kenya....Wadumu Mods wa JF
Yani Dada angu adumu kaka max na uongozi wote wa jfUmesahau na Mods nao wadumu jamaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF ni stress free zone, hata ukija nazo utaziacha mlangoni yna4, maisha yenyewe ndio hayahaya shangweka tuYani humu kunanipaga raha sana..kuna wakati unakutana na comment humu unajikuta tu unacheka kama umekaa na mtu pembeni huishia kukushangaa tu
Hahahaha nitaanza keshoIla uje kwenye mazoezi uweke mambo sawa watu wasipige mluzi🙂😉
Tudumu tudumu sababu hadi tunajiunga vifurushi vya mwezi au Wiki wiki ilimradi tu bando lisiwe Mzozo tupate kuja jf.Yani Dada angu adumu kaka max na uongozi wote wa jf
Tudumu sote humu.