1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #441
kitandani [emoji23] ,, nahisi sijaelewa fafanuaMimi nikifanya siku mbili nasema ngoja nipumzike moja nikipumzika moja ndio kama zotee yani now nimehamisha mazoezi kitandani na nimeshaongeza wapinzani kikubwa jasho linitoke.
hehehehehe [emoji23]Huku kijijini hayo mnayoita "mazoezi ya kitandani" ni kama kujinyoosha tu. Bado silewi unaposema umehamishia mazoezi kitandani kijana mdogo damu inachemka!.
mmmmh mkuu ya kweli hayo,, shemela atakubali uwe ngumu kiasi hichoMimi maisha yangu ni mazoezi tosha..jembe la mkono ,kuoasua kokoto,kuchimba mitaro ndio shughuli zangu za kila siku
😀😀😀huyo akitangulia mbele ni bora nikbadirisha njia kama nina swaum[emoji23]
Wamesema wameghairi mimi kuwapima wanadai wanamzani wao watajipima wenyewe waniletee majibuwatapasua, kama ndio nawapina wallah nagairi, nawapeleka mashineni
hongera sanaaaa mkuuMimi nilikuwa kama wewe mkuu, lakini kwa sasa nimejipangia kila siku push up zaidi ya mia, kila ijumaa jioni nakimbia kwa zaidi ya saa moja. Kitu cha msingi focus tu. Manyama uzembe kwisha kabisa
Usifanye Mazoezi mwenywe .. Nenda Gym utapata Motivation kwa maana Wapo wengiWazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA
Nafanya sana, mazoezi ni sehemu ya maisha yanguKwani weye Ka Hasssan huwa unafanya hayo mazoezi?
sawa mkuuUsifanye Mazoezi mwenywe .. Nenda Gym utapata Motivation kwa maana Wapo wengi
Hahahaaa. Lolhahaha na kile kibao cha nazi sidhan kama kinakutosha,,
Mimi napiga nyeto kila asubuhi na navuta bangi kabla sijaenda mazoezini.
Yani kam mimi kabsaaa nashindwa elewa kwannWazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA
nimekuelewa mkuucommitment is everything inabidi ifike kipindi mambo mengi lazima ufanye pekeyako! usisubiri daktari akwambie una shoti mwilini ndio uanze zoezi
hahahah usijali tukomae tuYani kam mimi kabsaaa nashindwa elewa kwann