Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Huku kijijini hayo mnayoita "mazoezi ya kitandani" ni kama kujinyoosha tu. Bado silewi unaposema umehamishia mazoezi kitandani kijana mdogo damu inachemka!.
hehehehehe [emoji23]
 
Mimi maisha yangu ni mazoezi tosha..jembe la mkono ,kuoasua kokoto,kuchimba mitaro ndio shughuli zangu za kila siku
 
Mimi nilikuwa kama wewe mkuu, lakini kwa sasa nimejipangia kila siku push up zaidi ya mia, kila ijumaa jioni nakimbia kwa zaidi ya saa moja. Kitu cha msingi focus tu. Manyama uzembe kwisha kabisa
 
Mimi nilikuwa kama wewe mkuu, lakini kwa sasa nimejipangia kila siku push up zaidi ya mia, kila ijumaa jioni nakimbia kwa zaidi ya saa moja. Kitu cha msingi focus tu. Manyama uzembe kwisha kabisa
hongera sanaaaa mkuu
 
commitment is everything inabidi ifike kipindi mambo mengi lazima ufanye pekeyako! usisubiri daktari akwambie una shoti mwilini ndio uanze zoezi
 
Kwenye swala la ku maintain hiyo ni kazi,ila kwa ushauri kama upo kwenye mazingira yanye Gym za kulipia ni bora ukajiunga nazo tena uwe unalipa kwa mwezi.
Cos usipo udhuria itakua inakuuma pesa yako itakua inaenda bure.
Hiyo itakusaidia kuhudhuria mazoez mara kwa mara
 
Back
Top Bottom