Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?

MAZOEZI NI AFYA
mi Pia huwa sina muendelezo wa kufanya mazoez

mkuu mi nahisi ni kawaida.. maana hata jeshin huwa tunapigishwa jaramba miez michache tu baada ya hapo ni we mwenyewe tu.
 
Kwanza penda mazoezi, hili jambo na nia ya kufanya mazoezi itoke moyoni.

Fikiria matokeo ya mazoezi katika mwili wako, Fikiria mwili Unavyokuwa relaxed baada ya zoezi, Fikiria utakavyoweza kudhibiti adui yako, Fikiria Utakavyokuwa na sex body n.k

Fanya mazoezi siku inapoanza, asubuhi, ukiwa na nguvu zako.... Sio jioni, mwili ukiwa umechoka

Fanya mazoezi kwa mtindo wa mchezo (namna inayokufanya ufanye mazoezi huku unafurahia). Mfano kama ni mchezaji wa mpira, cheza mpira na hapo utakuwa Umefanya mazoezi ya kukimbia, kuruka, kunyosha viungo n.k

Best luck brother
 
mkuu nimekuelewa ubarikiwe sana
 
Fanya utafute partner uwe unafanya nae zoezi hapo hutaacha utaendelea hata kwa shingo upande ..
Lkn kama uko peke yako na ni mvivu mvivu kama mimi basi kila baada ya week utakuwa unaacha
sasa hapa nlipo sijui nani anapiga haya mazoez
 
mi Pia huwa sina muendelezo wa kufanya mazoez

mkuu mi nahisi ni kawaida.. maana hata jeshin huwa tunapigishwa jaramba miez michache tu baada ya hapo ni we mwenyewe tu.
kumbeeeer[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…