Kila nikifikiria Mtume Muhamad alivyorogwa sioni akifikia theluthi ya kina Musa achilia mbali Yesu

Kila nikifikiria Mtume Muhamad alivyorogwa sioni akifikia theluthi ya kina Musa achilia mbali Yesu

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
1741614500204.png

Kurogwa ni shambulio la kiroho kwa kutumia nguvu za giza, waweza kujilinda kwa njia kadhaa ikiwemo ya uhakika ulinzi wa Mwenyezi Mungu,

Vita ya Mababii na mitume dhidi ya shetani ilikuwa ya kiroho, Shetani hupendelea zaidi kutumia majaribu ya kuingiza tamaa na nguvu za giza kuroga, anaposhindwa vita ya kiroho huwa ni aibu sana kwake, anabaki kusubiri kwa aibu manabii na mitume washambuliwe kimwili aidha kwa kupigwa mpaka mauti, kufungwa jela, kusulubiwa, n.k.

Jinsi Mtume Mohammad alivyopigwa kipapai

Hadithi Maarufu katika Sahih al-Bukhari (5765) na Sahih Muslim (2189) inasimulia kuwa kuna mchawi aliweza kumpiga kipapai (kumroga) Mtume Muhammad kwa kutumia nywele zake na kitana, kisha akaviweka katika kisima, alimtupia uchawi wa kumvuruga akili. Muhammad alipitia kipindi kigumu sana.

Mtume alikuwa katika hali ya kufikiri kafanya mambo fulani lakini kwa hakika hakuwa amefanya, Alipata msongo wa mawazo na hali ya kuchanganyikiwa, Alikuwa na afya njema kimwili lakini alikuwa na mzigo wa kiakili. Ni mpaka baadae aliweza kupona kama ilivyo kwa watu wengine wanaorogwa wakifanya maombo na kupiga sala.

Kwa Upande wa kina Musa tumeshaona mengi sana, kundi la wachawi wakubwa kutoka Misiri walitaka kumjaribu lakini akawaonyesha yeye ni levels nyingine ana kipawa kikubwa zaidi kutoka kwa Mungu, fimbo yake ilipogeuka kuwa nyoka ilimeza wale nyoka wote wa wachawi.

Tukija kwa Yesu hizo ni levels nyingine kabisa, Shetani hakutumia wachawi alienda mwenyewe direc, Alimjaribu kwa kila kitu lakini hakufua dafu, vita ya kiroho dhidi ya Yesu ilimfedhehesha vibaya mno.

Nampa heshima zote Mtume Mohammad kwasababu anazistahili lakini apewe heshima kulingana na hali yake, sio sawa anavyotukuzwa kupitiliza
 
Unashindwa kuelewa kua katika suala hilo ndio zikashuka sura mbili yaani "Almuawidhatain" maana yake sura mbili zenye kuponya. waislam wenye mazingatio hutumia hizo na kupona mambo ya uchawi. ila kwakua ni mpumbavu basi baki na upumbavu wako
Ishu ni kwamba kuna mchawi aliweza kumroga

hayo mambo mengine waweza ni nje ya maada, waweza anzisha nyuzi nyingine
 
Unashangaa Mtume kurogwa wakati Yesu alipokea kichapo cha kutosha kutoka kwa watu aliowaumba yeye mwenyewe,wakamtemea mate,wakamfanyia kila aina ya dharau,wakamtembeza uchi na mwishowe wakamtundika msalabani ajifie mwenyewe.
 
Kurogwa ni shambulio la kiroho

Kupigwa ni shambulio tofauti kabisa, rungu likishuka limeshuka
 
Watu wanavyopenda kujipendekeza Kwa wajukuu wa Isaka, mbona wao hawana muda kabisa
 
Hadi mtu anarogwa ni kwamba system ya kitoho ina matundu, mchawi akipata upenyo anaingiza uchawi,

Shambulio la kimwili ni tofauti kabisa, ndio maana manabii wengi walikuwa wakipewa tahadhari wasiende sehemu flani kukwepa mashambulizi ya kimwili.

Jinsi Mtume Mohammad alivyopigwa kipapai - k

Hadithi Maarufu katika Sahih al-Bukhari (5765) na Sahih Muslim (2189) inasimulia kuwa kuna mchawi aliweza kumpiga kipapai (kumroga) Mtume Muhammad kwa kutumia nywele zake na kitana, kisha akaviweka katika kisima, alimtupia uchawi wa kumvuruga akili. Muhammada alipitia kipindi kigumu sana.

Mtume alikuwa katika hali ya kufikiri kafanya mambo fulani lakini kwa hakika hakuwa amefanya, Alipata msongo wa mawazo na hali ya kuchanganyikiwa, Alikuwa na afya njema kimwili lakini alikuwa na mzigo wa kiakili. Ni mpaka baadae aliweza kupona kama ilivyo kwa watu wengine wanaorogwa wakifanya maombo na kupiga sala.

Kwa Upande wa kina Musa tumeshaona mengi sana, kundi la wachawi wakubwa kutoka Misiri walitaka kumjaribu lakini akawaonyesha yeye ni levels nyingine ana kipawa kikubwa zaidi kutoka kwa Mungu, fimbo yake ilipogeuka kuwa nyoka ilimeza wale nyoka wote wa wachawi.

Tukija kwa Yesu hizo ni levels nyingine kabisa, Shetani hakutumia wachawi alienda mwenyewe direct hakufua dafu.

Nampa heshima zote Mtume Mohammad kwasababu anazistahili lakini apewe heshima kulingana na hali yake, sio sawa anavyotukuzwa kupitiliza
Vipi kuhusu yesu wetu aliyechukuliwa kabisa na shetani na kupelekwa hadi kuzimu kwa lengo la kumjaribu?
Kama aliweza kumchukua angetaka kumzuru angeshindwa?

Ayubu je?

Yesu huyu huyu aliyeuzwa na yuda licha ya kujificha lakini akazidiwa maarifa na yuda?

Musa huyu huyu aliyetembea safari ya siku moja kwa miaka kibao?

Sio kila jaribu unalopitia hata wewe linamaanisha kuwa wewe ni dhaifu,muda mwingine wewe unakua ndio kitabu ili wengine wasome na kujifunza kupitia wewe!
na mitume wote ni walimu kiasili,maisha yao ni darasa kwa wafuasi wao!
Aaah siwabezi mitume wote,ila kila lilowatokea mwishoni ndio kulitoa tafsiri na lengo!
 
Naomba unionyeshe sehemu hata moja tu ambayo Shetani aliweza kumduhuru Yesu kiroho.

Yesu kwenye funga yake ya siku 40 alitamanishwa vingi sana ikiwemo kumiliki utajiri wote duniani lakini alikataa

Shetani alichoambulia ni Kupondwa kichwa

Unapoona hadi shetani anaenda mwenyewe badala ya kutumia mchawi na bado anashindwa jitathmini sana unapomsifia Muhammad kupitiliza hadhi yake.
 
Na unamzungumzia vipi mtume wa ALLAH Ayoub/Job?
Ayubu ni ruhusa ya mungu mwenyewe lengo alikuwa kulogwa bali kuteswa na kuwekwa kwenye dhiki hili ajaribiwe kama atamuasi mungu ...ndiyo maana atusemi ayubu kalogwa...
 
Back
Top Bottom