Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.

Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.

Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu.

Kura yangu inaniuma sana.

Kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wanateseka hivi.
 
TBC
Kwa hapa JF fuatilia nyuzi za kina Luca
Luca anaongea habari za nyuma sana, kila kitu Magufuli era.

kitu kipya serikali hii imefanya kimoja tu niseme serikali ipo na mimi?

kura yangu ya kwanza kupiga inaniuma sana.
 
Habari njema zipo ingawa chache sana!!

Treni ya sgr kuanza KAZI ni good news.
 
Habari njema zipo ingawa chache sana!!

Treni ya sgr kuanza KAZI ni good news.
it's should have started 3 years ago hii habari gani nzuri. watu wajalipwa na Sgr hadi leo aija isha. pesa zimeisha. 😔😔☠️ still looking for that good news.
 
it's should have started 3 years ago hii habari gani nzuri. watu wajalipwa na Sgr hadi leo aija isha. pesa zimeisha. 😔😔☠️ still looking for that good news.
Hata panapokucha tukiwa salama hiyo ni good news!!!

Kule Ukraine au Gaza Si kama sisi, hivyo Kuna kitu Serikali yetu inafanya Kwa Amani ya nchi yetu.

Ukizitafuta habari njema, zipo, ingawa ni chache.
 
it's should have started 3 years ago hii habari gani nzuri. watu wajalipwa na Sgr hadi leo aija isha. pesa zimeisha. 😔😔☠️ still looking for that good news.
SGR wanataka wadau waiendeshe hata wewe changamkia fursa, nitakusaidua kuandika mpango wa biashara
 
luca anaongea habari za nyuma sana, kila kitu Magufuli era.
kitu kipya serikali hii imefanya kimoja tu niseme serikali ipo na mimi??
kura yangu ya kwanza kupiga inaniuma sana.
bora ningempigia mbwa tu.

maana sioni Hata 1 thing. some one should change my mind
Anza na hii upate motisha, Wale wadada wa ubungo wanapewa mikopo baada ya kupelekwa sehemu salama.
 
Anza na hii upate motisha, Wale wadada wa ubungo wanapewa mikopo baada ya kupelekwa sehemu salama.
Wazo zuri lakini hili tatizo liko nchi nzima, swali fikirishi je waliodaiwa kununua huduma wao wamepewa nini
 
Anza na hii upate motisha, Wale wadada wa ubungo wanapewa mikopo baada ya kupelekwa sehemu salama.
link?? wakina mama wa kariakoo tu wamechukuliwa nafasi zao sokoni na matajiri.

collateral ya mikopo hii ni nini?? program hii inaanza lini?? I need something nione kweli. my government is doing something positive and it can be shown.
 
Wanalipana posho pekee hakuna la maana
 
na miaka 4. sijawai kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi. ni kila siku habari mbaya tu.

nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifalijike.

Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years. ni some nifurahi kuwa nipo na serikali yangu,

kura yangu inaniuma sana.

kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wana teseka hivi.
Hapo ndiyo uelewe uzushi na umbea unavuta watu.
 
Back
Top Bottom