Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.

Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.

Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu.

Kura yangu inaniuma sana.

Kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wanateseka hivi.
Mtafute fala mmoja anaitwa Lucas Msambwanda atakupa hizo habari za kufikirika
 
Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.

Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.

Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu.

Kura yangu inaniuma sana.

Kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wanateseka hivi.
Ina maana huoni nyuzi za kaka yetu Lucas Mwasambwa? Au wewe ni mmoja wa wale msioitakia nchi mema?
 
Back
Top Bottom